Njoo kwangu.
Wazaz wako wamezeeka sana kwan?? Waulize kwa nn usiende bila mke . Ukiende peke yako kuna hatar gan????
au hujanielewa? Nimesema sina hamu na kuanzisha mahusiano mapya
Kweli hauna hamu,ulivyokuwa mkali!!
Sio sana ila wanafanya ivi ili nioe kwan tayari rika langu wote wameoa na hata wadogo zangu wana watoto
Hao wazazi kwanini wanakuforce uoe?
au hujanielewa? Nimesema sina hamu na kuanzisha mahusiano mapya
Swali la kwanza uko wapi??,la pili una muda gani hujarudi nyumbani kwa wazazi wako/hujaonana nao
swali la tatu:kwa nini hutaki kuanzisha mahusiano mapya??
Kweli hauna hamu,ulivyokuwa mkali!!
Jamani nina mawazo, wazazi wangu wametuma ujumbe kupitia mdogo wangu kwamba nisirudi nyumbani bila mke. Sio kwamba sitaki kuoa,uwezo upo na nia ipo,tatizo tangu nimetendwa sina maandalizi wala hamu ya kuanza mahusiano mapya.Ushauri wakondugu
nipo tabora, nina miezi mitano sijarudi nyumbani maana nipo kazini, sitaki kuanzisha mahusiano mapya kwa sababu nilitendwa vibaya hata wao wanajua vizuri