Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,913 Reaction score 10,743 Jan 18, 2024 #21 Being_neutral said: Kwani kachori huwa zinatengenezwa kwa ajili ya wanawake?🤣🤣🤣hii nchi kuna watu wana maswali ya kipumbav saa Click to expand... ni utani tu mkuu😂 tunasogeza siku
Being_neutral said: Kwani kachori huwa zinatengenezwa kwa ajili ya wanawake?🤣🤣🤣hii nchi kuna watu wana maswali ya kipumbav saa Click to expand... ni utani tu mkuu😂 tunasogeza siku
Being_neutral JF-Expert Member Joined Jan 9, 2024 Posts 376 Reaction score 727 Jan 18, 2024 #22 Nyafwili said: • 😬😬, poleni sana, • ivi ule ugali wa Dar ni baga ya sembe au? Maana niliwahi kula sahani tatu, lakini sikushiba aise, Click to expand... Ulitaka ugali wa mama ntilie ule kama upo kwako chitohori🤣🤣🤣 Hujui kama ni biashara ile? Daah
Nyafwili said: • 😬😬, poleni sana, • ivi ule ugali wa Dar ni baga ya sembe au? Maana niliwahi kula sahani tatu, lakini sikushiba aise, Click to expand... Ulitaka ugali wa mama ntilie ule kama upo kwako chitohori🤣🤣🤣 Hujui kama ni biashara ile? Daah
M Mzee wa kupambania JF-Expert Member Joined Aug 14, 2022 Posts 21,769 Reaction score 54,908 Jan 18, 2024 #23 Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand...
Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand...
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,226 Reaction score 35,524 Jan 18, 2024 #24 Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand... Heri Dar wanakunywa chai mida hiyo...Mkoani ndiyo shida... Kuiona Chai ni Muujiza....
Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand... Heri Dar wanakunywa chai mida hiyo...Mkoani ndiyo shida... Kuiona Chai ni Muujiza....
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 15,555 Reaction score 39,229 Jan 18, 2024 #25 Hili nalo litapita
mshamba_hachekwi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2023 Posts 24,646 Reaction score 80,491 Jan 18, 2024 #26 Ms eyes said: Kweli kabisa. Mimi hapa sijanywa chai bado na sina hiyo ratiba kwa leo😌 Click to expand... chai sio lazima watu tumekaririshwa tu
Ms eyes said: Kweli kabisa. Mimi hapa sijanywa chai bado na sina hiyo ratiba kwa leo😌 Click to expand... chai sio lazima watu tumekaririshwa tu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,984 Reaction score 113,849 Jan 18, 2024 #27 Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand... 😂
Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand... 😂
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,548 Reaction score 88,536 Jan 18, 2024 #28 Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand... Hivi aliyewaambia kuwa kula milo mitatu ni lazima na ndio afya ni nani, kwa taarifa yako kuna watu ni masikini ila wanakula milo mitatu, na kuna watu ni matajiri ila wanakula milo miwili msikariri ni maamuzi tu
Nyafwili said: Watu wa Dar, wanaishi maisha magumu sana.. Chai yenyewe wanakunywa saa saba mchana. Click to expand... Hivi aliyewaambia kuwa kula milo mitatu ni lazima na ndio afya ni nani, kwa taarifa yako kuna watu ni masikini ila wanakula milo mitatu, na kuna watu ni matajiri ila wanakula milo miwili msikariri ni maamuzi tu