Relief JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 254 Reaction score 47 Jan 23, 2012 #21 MAN FOR REAL. Yippppeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!😛oa
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Jan 23, 2012 #22 meipenda hyo
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Jan 23, 2012 #23 Never give up said: hapo homa itakuwa haiishi, kama hawezi kuachana na arsenane bora kuweka ushabiki likizo... Maana utanunua painkiller kwa mabox. Click to expand... Looh. Kazi huwa naipata mimi, siku arsenal ikifungwa siombi hata kuletewa Ice Cream., maana naweza kuulizwa "unasherehekea sio?"
Never give up said: hapo homa itakuwa haiishi, kama hawezi kuachana na arsenane bora kuweka ushabiki likizo... Maana utanunua painkiller kwa mabox. Click to expand... Looh. Kazi huwa naipata mimi, siku arsenal ikifungwa siombi hata kuletewa Ice Cream., maana naweza kuulizwa "unasherehekea sio?"
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,819 Jan 23, 2012 #24 Bigirita said: Kwahiyo gozi lako gonjwa kila siku............... Unapata huduma kweli? mwambie ahame timu bana!!! Click to expand... Likiwa na hasira linazimalizia kwenye huduma, hapo sasa, huwa naombea wafungwe kila siku.
Bigirita said: Kwahiyo gozi lako gonjwa kila siku............... Unapata huduma kweli? mwambie ahame timu bana!!! Click to expand... Likiwa na hasira linazimalizia kwenye huduma, hapo sasa, huwa naombea wafungwe kila siku.
ndenga JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 1,897 Reaction score 1,583 Jan 23, 2012 #25 FaizaFoxy said: Likiwa na hasira linazimalizia kwenye huduma, hapo sasa, huwa naombea wafungwe kila siku. Click to expand... Jibu nzuri sana madam..unatisha kwa majibu! Ungekuwa waziri wa nishati wala usingepata shida ya kujibu maswali ya wabunge..i like that: Ha ha!
FaizaFoxy said: Likiwa na hasira linazimalizia kwenye huduma, hapo sasa, huwa naombea wafungwe kila siku. Click to expand... Jibu nzuri sana madam..unatisha kwa majibu! Ungekuwa waziri wa nishati wala usingepata shida ya kujibu maswali ya wabunge..i like that: Ha ha!
S Son of Alaska JF-Expert Member Joined Jun 2, 2008 Posts 2,812 Reaction score 1,070 Jan 23, 2012 #26
K kula kwa tindo JF-Expert Member Joined Nov 14, 2011 Posts 1,330 Reaction score 324 Jan 23, 2012 #27 Mbona ina maneno tayari?
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,559 Reaction score 11,496 Jan 23, 2012 #28 Dah hii nimeienda Saint
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Joined Dec 16, 2010 Posts 305 Reaction score 48 Jan 24, 2012 #29 FaizaFoxy said: Hiyo hata mimi nisiye mtaalam nimeigunduwa kuwa ni picha duka. Click to expand... Hiyo siyo picha duka kama uliangalia mechi ya Man u na Arsenal utajua kuwa ni picha ya kweli.
FaizaFoxy said: Hiyo hata mimi nisiye mtaalam nimeigunduwa kuwa ni picha duka. Click to expand... Hiyo siyo picha duka kama uliangalia mechi ya Man u na Arsenal utajua kuwa ni picha ya kweli.