pastor masumbuko
Member
- Apr 23, 2016
- 67
- 195
Watu wa MUNGU hamjambo?
Nina ujumbe kwenu asubuhi ya leo
Nimeoneshwa kuwa mapenzi yanawasumbua sana, na wengi mnaomboleza kwa ajili ya mapenzi na mnahitaji tiba ya kudumu
Mpango wa MUNGU unafahamika kwa wote, mapenzi na ngono vimekatazwa kabla ya ndoa, MUNGU anataka kila mmoja aingie kwenye ndoa akiwa bikra, watu wanaingia kwenye ndoa tayari mikononi wamekua na relationships hadi kumi ktk kipindi chote cha maisha ya mhusika, siku akiolewa anampima mumewe na hao watu wote kumi, sasa mume utasalimika hapo? Utaweza kuwapita watu wote hao kumi? Ndipo usaliti unapokuja
Kila mmoja asubiri ndoa ili kusiwepo na kupima kwingine
Watu wa jukwaa hili, ni mara ngapi umehonga laki moja na zaidi lakini siku ya ibada unapeleka sh Mia tano kwa mungu tena baada ya kuichenji kutoka elfu moja!!
Kuhonga imekua ni pepo baya, ukiacha zinaa Kuhonga hakutakuwepo tena, leteni sadaka kazi ya Bwana isonge mbele
Enyi akina dada naomba muache mara moja kuchukua fedha zinazopaswa kuwa za MUNGU kwa njia ya kuhongwa, panga kuacha zinaa toka dakika hii, mwambie huyo unaezini nae kuwa umemrudia MUNGU na kama anataka mfunge ndoa
Wake kwa waume acheni mambo ya mapenzi hayana tija na ni ubatili
Sasa naomba niwaweke mikononi mwa MUNGU
"BABA nawaweka mikononi mwako wale wote wenye nia ya kuachana na wapenzi wao ili wawe safi rohoni na waiache zinaa, pia nakemea pepo la Kuhonga katika jina YESU, liondoke kabisa katika maisha yao na badala yake fedha hizo wazilete kwako BABA kama zaka na sadaka
Kazi yako isonge mbele, pia navunja vunja roho zote mbaya, pepo la kuvaa mawigi, kujikirimu ngozi, vimini sketi,pepo la kupiga mizinga wanaume hatimae kushindwa kupeleka zaka na sadaka, utumiaji wa viroba, pepo la kutongoza wanawake hovyo hovyo, pepo la usaliti kwenye ndoa, yote hayo nakemea kwa jina la YESU, mapepo yote hayo yawatoke nyote mara moja, katika jina la YESU
Wooote tuseme Amen