Usifungue inaweza kukukera

Kitu cha kutahadharishwa kina mvuto wa kinamna! Nilikuwa nakula lakini simlaumu
mleta mada hata chembe, najilaumu mwenyewe.Hapa nilipo najizuia kutapika mpaka tumbo
linauma!
 
Kitendo cha kusema usifungue ndo umeharibu maana wanadamu tunawashwa kwa nini nisifungue?
 
hili kero jengine silo, hujui kama kuna watu wanakula
 
Imenikatia mzuka wa kiroba changu ila ngoja ntingishie na fegi tu stim irudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…