Hata kama akiwa ndugu yake na ikiwa anachoeleza ni ikweli nini mbaya?umepiga sana promo lakni ujamtaja muhusika wa hiyo duka,,,na bei ya viatu hvyo ni shngap,,je mkoani anatuma kama wale wegine wanavyosemaga na mikoani tunatuma,,,
lakn na waswas na hyo biashara aidha ni ndugu yako au rafiki yako maanaa siyo kwa promo hyo
Fanya uende mpk sinza madukani uulizie duka linaitwa usiende kariakoo then utakachokutana nacho ulete feedbackumepiga sana promo lakni ujamtaja muhusika wa hiyo duka,,,na bei ya viatu hvyo ni shngap,,je mkoani anatuma kama wale wegine wanavyosemaga na mikoani tunatuma,,,
lakn na waswas na hyo biashara aidha ni ndugu yako au rafiki yako maanaa siyo kwa promo hyo
Usiende kariakooDuka lake linaitwaje?tueleweshe
Hata sina undg nae ila nilipenda anachokifanya yule kijana na pale nilipelekwa na wifeHata kama akiwa ndugu yake na ikiwa anachoeleza ni ikweli nini mbaya?
Nenda dukan kwake utamkutaKijana gani sasa?
Kwa hiyo issue ni Duka au Kijana??Nenda dukan kwake utamkuta
Hata sina undg nae ila nilipenda anachokifanya yule kijana na pale nilipelekwa na wife
HahahahaWife alipelekwa na jamaa wake.
Kwa mbaaaaaaaaliiii nahisi.you.have gone too farrrrrrrrrrrr mkuu!!!!ok ulipelekwa na wife dukani kwa kijana vizuri mkuu...