Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
[emoji23][emoji23] sio poaHatareeeee
[emoji23][emoji23] sio poaHatareeeee
Si kweli.Mwanamke asipokuchagua humpati hata kwa dawa
Thibitisha. Kinyume Na hapo utakuwa unambakaSi kweli.
Kuchagua Na kutongoza ni vitu tofautiSi kweli.
Unamaanisha mkeo aliku approach ?
ofcoz, mana ndo alienitongozaKwahiyo mumeo ndio alikuchagua ww
biblia inasema mume ndio ampende mke enyi waume wapendeni wake zenu, enyi wake watiini waune zenu sio kwamba wanawake wao hawapendi bali mume akimpenda mke automatically mke nae anampenda muwe bila hata kumlazimisha maana upendo wa mke unategemea upendo wq mume pia mke ni kama mwezi na mume ni kama jua ,jua ndo huupa mwezi mwanga bila jua kywaka mwezi hauwezi kuwaka pia maana mwezi umategemea kuakisi mwanga wa jua ndo uwake hiyo ni kusayansi zaidi. Soma waefeso 5 :23 na 25 -30Daah, basi kama Kweli mnatupenda muwe mvipende na tunavyowachagulia
Muone kwanza[emoji23]
[emoji125]
Niliwahi kunyimwa -puchi miaka ya nyuma kwa tabia hiyo[emoji23] [emoji23]Sipendi hii tabia ya unanunua kitu halaf rafiki au ndugu anasema kibaya nilidhan utanunua kizuri, hee jamani si nimekipenda mie
mchapeni tu huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani wewe, takuchapa ujue
Unapomtongoza mtu kwa mategemeo ya kumfanya mke ni hatua mojawapo ya kufanya uchaguzi.Kuchagua Na kutongoza ni vitu tofauti
ama kweliHivi mke anakuchagua au mume ndie anachagua mke wa kuoa ?
Jamanimchapeni tu huyo
Kwenye uchaguzi huo mwanaume anafanya kubahatisha Ila mwanamke anakamilisha uchaguziUnapomtongoza mtu kwa mategemeo ya kumfanya mke ni hatua mojawapo ya kufanya uchaguzi.
Huwez kutongoza kabla ya kuchagua yupi wa kumtongoza.
Hence anayechagua ni mwanaume sio mwanamke.
ss analeta ubishi kwa wakubwa zake, mama alitufundisha utii namshangaa amekua mbishi...mchapeni tu kidogo ataelewa,Jamani
Humuonei huruma mdogo wako jamanii?!
Halafu umepotea sana
UkomeNiliwahi kunyimwa -puchi miaka ya nyuma kwa tabia hiyo[emoji23] [emoji23]
Niliacha
Nitafutie tu fimbo sasa kaka!!ss analeta ubishi kwa wakubwa zake, mama alitufundisha utii namshangaa amekua mbishi...mchapeni tu kidogo ataelewa,
nipo dada.....majukumu tu yanakaba mm kupita humu,
Asante [emoji4][emoji4]Nitafutie tu fimbo sasa kaka!!
Pole mno kwa majukumu, ila hongera sana kwa kutimiza wajibu!!
Mzee baba unajichanganya.Kwenye uchaguzi huo mwanaume anafanya kubahatisha Ila mwanamke anakamilisha uchaguzi