Mmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!!
MEN BUSINESS IS A SHITTY BUSINESS HAINA FORMULA MOJA! Tukubali tukatae THE WOMANS GREATEST WEPON IS THE MIND! Ukiweza kuwa outsmart wakimue utaelea angani. The second greatest weapon is being CHEAP. Ukiwa mbaaji hata uwe mzuri vipi utachina ndani mpaka uwe mbibi. Hayo y uzuri tabia yalishapitwa. Ukiwa mbanaji hawa HOT TO DIE FOR DUDES hutokaa uwaonje, they only ask once, ukidengua basi. The rules of the game have changed much since the 80s!:becky:. Ofcourseand the last weapon is BEAUTY. Ukiwa mbaya utapa wanaume wa kuwalea, free p, average joe na masanturaaa kama hayooo. Wale wa kukuhonga na kukutreat mi vaccation utawasikia tu hewani.
ALL IN ALL MENS BUSINESS IS A SHITTY BUSINESS, HAINA RULES OF THE GAME, NI KUTEGEMEA BAHATI NA KUOMBA MUNGU BASI.