Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,054
- 1,797
Hakuna nabii hata mmoja kwa mujibu ya imani ya uislamu alishindwa mtihani baada ya kutahiniwa na shetani.Fuatilia jinsi yesu alivyoishi ndipo utatambua mcha Mungu anatakiwa kuishije
Mcha Mungu hatakiwi kukosea hata mara moja, nini kinachomfanya akosee?Hakuna nabii hata mmoja kwa mujibu ya imani ya uislamu alishindwa mtihani baada ya kutahiniwa na shetani.
Hii utakuta katika biblia, jinsi ilivyokuwa na utovu wa adabu na mitume wa ALLAH.
Na hata akikutahini shetani kwa mja muumini na Kudura ya muumba ipo karibu yako basi kwamwe hutoweza kumuelekea shetani katika mrengo wake.
Adam na Hawa walitahiniwa na ALLAH kupitia shetani aliyelaaniwa ila walitubia kwa makosa yao wala hawakuweza kuelekea katika mrengo wa shetani..
TANBIHI: Kutahiniwa kupo na kukosea kupo kwa binaadam ila kutotubia ni kiburi na kufanya hivyo ndipo matakwa ya shetani yanapotimia.
Shetani ni adui wa kudumu wa mwanaadamu hii yote ni kutokana na husda zake pale alipoambiwa amsujudie adamu kwa sijda ya heshima akakataa na kukaidi maagizo ya muumba wake na kuendelea na kibri chake hapo ndipo alipo laaniwa hadi leo hii!!
Madaraka ya shetani yapo kwa wanaomtii.
Hoja zako dhaifu kabisa Gwajima si mtu kama wewe, huo utume kapewa na nan?Gwajima nae akafumwa akila malaya video ipo hewani mpaka sasa
Mchamungu hatakiwi kukosea hata mara moja, kwanini ukosee?Hoja zako dhaifu kabisa Gwajima si mtu kama wewe, huo utume kapewa na nan?
Kukosea kwa mtu yoyote kupo hata umuone mchamungu vipi na kutubia pia kupo!!
Kama vile kiu na maji!!
Utashi wa nafsi na matamanio kwa kuwa vimeumba asiyekosea ni muumba pekee.Mcha Mungu hatakiwi kukosea hata mara moja, nini kinachomfanya akosee?
Asingepata adhabu yote ile aliyopewa na mababu zake wa mahekaluKamwe Yesu hawezi kushindwa na shetani.
Mchamungu hapaswi kabisa kukosea, kitendo cha kukosea bado hana msimamo na uchungu kwa muumba wakeUtashi wa nafsi na matamanio kwa kuwa vimeumba asiyekosea ni muumba pekee.
Na hii Qadri ALLAH mtukufu kuonesha uwezo wake.
Vipi yuda ambae nae alitimiza maandiko mbona anashutumiwa sana na kuonekana mbaya wakati alifanya jambo ambalo utashi wake ulikua directed maana iliandikwa lazima atamsaliti yesuKwa Yesu, shetani alidhani amemkomoa ila alitimiza maandiko. .. . ilikuwa lazma mwana wa Adamu aje aishi kama mwanadamu na asubulubiwe...afanyike laana ..aimwage damu yake isiyo na hatia kwa ajili ya utakaso wa kila mwanadamu mwenye mwili duniani.. afe azikwe na afufuke..
Msalaba una nguvu kuliko mauti.
Na asingepata adhabu Bibilia Ingekuwa ni kitabu cha uongo kwa kutotimiza maandiko,na Ukristo usingekuwepo Dunia.Asingepata adhabu yote ile aliyopewa na mababu zake wa mahekalu
Hii dunia ina siri kubwa sana, mtu atamwabudu Shetani atakuwa trilionea na atawasaidia wanaodhani wao ni wachamungu na hawatakataa msaada huoKumuabudu shetani ni sawa na kumuabudu roboti badala ya kumuabudu alitengeneza Roboti
Yote hiyo ni kudhihirisha utukufu wa Mungu.Asingepata adhabu yote ile aliyopewa na mababu zake wa mahekalu
Ile adhabu ni mababu wa imani walimpa baada ya kuona kuwa mjukuu tuliyemzaa leo hii anakuja kuvunja mamlaka yetu!Yote hiyo ni kudhihirisha utukufu wa Mungu.
Lakini mwisho wake mbaya shetani hana shukrani wala fadhila,mpe hata ukoo wako wote akiwamaliza ni lazima akutoe wewe kafara na mali zake anachukua ana mpa boya mwingine tenaHii dunia ina siri kubwa sana, mtu atamwabudu Shetani atakuwa trilionea na atawasaidia wanaodhani wao ni wachamungu na hawatakataa msaada huo
Asante kwa stori,,Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Basi nenda akakuoe,,, si ni miongoni mwa matakwa yake wanaume wawe mashonga wanawake wawe wasagaji,,, muendelezo wa kizazi usiwepo, kuwe na upungufu wa watu wachache awatawale ghadhabu za Mungu ziteremke awaangamize!Habari za Shetani kulaaniwa ni uongo mtupu uliotungwa na wale waliomwonea wivu
Lengo akunase roho yako upate hasara duniani na kesho ahera pia.Anakwambia piga goti akupe kila kitu bado unajishauri?