Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

Unashindwa kutofautisha katika ya utashi wa nafsi ya mtu, ushawishi wa shetani,, kila anavyo comment na mie ndio napata ujasiri wa kukuuliza maswali mengi kwa yakini utashindwa kuyajibu.
 
Kitendo cha wewe kutumia pesa tayari upo kwenye 18 zake hachomoki mtu, wengi wanaojifanya wachamungu ni wanafiki, mwanaume kamili unaachaje kugeukia wanawake barabarani wakati mmeambiwa msitamani wake za watu? 😂
Hoja yako hiyo nimeshaijibu na ukitaka maandiko nitakupa yaani wewe unaona kama umejenga hoja kumbe hakuna lolote...utashi umeeumbwa, na kukosea kupo na ndio maana kukawekwa na toba kwa yule nafsi yake isiyokuwa na kiburi.

Nakuuliza kitu kimoja tu ni kitu gani kinachokusukuma mpaka ukala chakula au ukaamua kulala na tena sometimes hata bila ya kutaka?
 
Kwahiyo Yesu ni mwana wa Adamu?
 
Kitendo cha wewe kutumia pesa tayari upo kwenye 18 zake hachomoki mtu, wengi wanaojifanya wachamungu ni wanafiki, mwanaume kamili unaachaje kugeukia wanawake barabarani wakati mmeambiwa msitamani wake za watu? 😂
Acha kumpa promo shetani, kwahiyo matumizi ya pesa au kubadilishana bidhaa kuuza na kununua ni mpango wa shetani? Acha kupotosha umma.
 
Na wala hakuwa shetani ni wanadamu tu na tamaa zao za madaraka, walidhani atawakwapua madaraka.
Ni kweli wengi tunamsingizia shetani anajulikana kama lusifa kwamba anatusumbua wakati wanaotusumbua ni wanadamu kwa husuda zao na shetani wa mtu ni mtu, mtu yeyote mbaya au mwenye roho mbaya ni shetani.
 
Ni njaa
 
Cha ajabu ni kwamba unaweza kuwa elimu kubwa tu ila una bado una fikra za namna hii!!!tanzania ina wapumbavu wenye vyeti
Bado upo kwenye kufikiri mambo ya kweli ya dunia hii ni yale tu yanayoingia kichwani, yapo mengi mengine yasiyoingia kwenye uelewa wetu lakini yapo na yanaathiri maisha ya watu.

Mambo haya ni ya kiroho na hutambulika kwa namna za kiroho na sio logic na sense za kawaida za kisayansi.
 
Mbona kuna mabinti wadogo wadogo tu wanamkanyaga pale kwa Mwamposa, kwa Kakobe na kwa Rashid Ubungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…