Hukunielewa mkuu. Ninajaribu kukutahadharisha kwamba wapo watu wengine wanaofuatilia na kusoma haya mahojiano baina yangu na wewe.Hoja yangu ni hivi, kwakua Yesu alisulubishwa vibaya alipokuwa akijaribu kumpinga Shetani basi Shetani sio wa kuingia nae vitani, Ikiwa Yesu pamoja na nguvu zake zote alipata adhabu yote ile basi sisi binadamu ni akina nani hata tuthubutu kuanzisha vita na Shetani?
Vp kuhusu mtume Muhammad (S.A.W)? Ajapambna na shetaniKuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Mtume Muhammad alitumia busara kubwa sana kufundisha mema, alikua mjanja sana hakutaka vita na Shetani, wala binadamu muovu yeye alikua anawaeleza watu habari nzuri za Mungu wala hakutaka vita nao.Vp kuhusu mtume Muhammad (S.A.W)? Ajapambna na shetani
Mkuu, naomba nikunukuu ......hutawahi kusikia Imamu wala Sheikh akisema anampiga Shetani lakini hawa wengine mfano wachungaji wanadai kuwa wanampiga Shetani katika mahubiri yao,................. Yesu alieneza habari za Mungu kwa hasira kubwa ndio maana alichukua kiboko akawatandika wale wote waliokuwa wakifanya biashara kwenye hekalu la Mungu na kutangaza vita na Shetani hapo ndipo wazee wa mahekalu wakajawa na hasira kali na kumkamata.Mtume Muhammad alitumia busara kubwa sana kufundisha mema, alikua mjanja sana hakutaka vita na Shetani, wala binadamu muovu yeye alikua anawaeleza watu habari nzuri za Mungu wala hakutaka vita nao.
Ndio maana katika mahubiri yote yanayofanywa na Waislamu, yanaeneza amani hutawahi kusikia Imamu wala Sheikh akisema anampiga Shetani lakini hawa wengine mfano wachungaji wanadai kuwa wanampiga Shetani katika mahubiri yao, wewe unampigaje? kwanza hulingani nae kwa chochote, yupo tangu binadamu wa kwanza hajaumbwa, leo hii uzaliwe wewe umpige? Haingii akilini hata kidogo.
Natoa mfano rahisi- Jeshi la Tanzania linapigana na Jeshi la nchi nyingine na hutawahi kuona Jeshi la Tanzania likipigana na mgambo wa mtaa. Yaani Jeshi la Tanzania liwashe vifaru vyote na mizinga yote likapigane na mgambo wa mtaa? Huo utakuwa ni ujinga uliopitiliza na wala hutawahi kuona popote pale.
Binadamu akisimama na Shetani ni sawa na tembo na kuku.
Labda niseme hivi, nikwasababu tu Shetani anaona hawa hakuna wajuacho na wala hapigani vita na kuku lakini angeamua kuwamaliza ni kitendo cha dakika sifuri. Nasema hivi kwasababu kama Yesu alimalizwa wao ni akina nani awashindwe.
Yesu alieneza habari za Mungu kwa hasira kubwa ndio maana alichukua kiboko akawatandika wale wote waliokuwa wakifanya biashara kwenye hekalu la Mungu na kutangaza vita na Shetani hapo ndipo wazee wa mahekalu wakajawa na hasira kali na kumkamata.
Kitendo cha kutupa mawe katika bonde la Minah kinamaanisha kuwa mtu amechoka dhambi anajaribu kuvua madhambi yake na kutupilia mbali.Mkuu, naomba nikunukuu ......hutawahi kusikia Imamu wala Sheikh akisema anampiga Shetani lakini hawa wengine mfano wachungaji wanadai kuwa wanampiga Shetani katika mahubiri yao,................. Yesu alieneza habari za Mungu kwa hasira kubwa ndio maana alichukua kiboko akawatandika wale wote waliokuwa wakifanya biashara kwenye hekalu la Mungu na kutangaza vita na Shetani hapo ndipo wazee wa mahekalu wakajawa na hasira kali na kumkamata.
Naomba unifafanulie haya yafuatayo:
1. Hivi wale mahujaji (Hija)kuna siku hufanya Ibada ya kutupa jiwe/mawe (kokoto saba)katika bonde la Minah. Hapo huwa wanamrushia nani hayo mawe?
2. Hebu chukulia kwamba wewe ungekuwa ni Yesu. Katika Hekalu au mahali pa kuabudia huwa kuna Taratibu za kuzingatia uwapo mahali hapo na pia ni mahali panapostahili Heshima ya kipekee(Hii hata katika Misikiti ipo na inazingatiwa ipasavyo). Sasa ikitokea watu kwa makusudi wanakiuka utaratibu huo na wala hawaheshimu mahali hapo panapotumika kumwabudu Mungu wewe kama Yesu Ungelifanyaje kwa sababu pameshakuwa au pamegeuzwa ni kama sokoni, gulioni au mnadani - hata ukipaza sauti hutosikika. Hatua ya Yesu kuchukua kiboko ichukuliwe kama inavyokuwa kwa mzazi anayemuonya mwanae ampendaye au mwalimu anayefundisha wanafunzi wake.
****Kuna Upotoshaji mkubwa katika maelezo yako unapotumia neno Hasira Kubwa.
Mkuu hebu soma tena Marko 11: 15-24 Hakuna neno au haijaandikwa kwa Hasira kubwa.
"Yesu aliingia Hekaluni akaanza kuwafukuza watu waliokuwa wakifanya biashara humo. Akapindua meza za waliokuwa wakibadilisha fedha na viti .."
Kwa hiyo hata leo ingekuwa ni Msikiti halafu wakatokea watu fulani wakaanza kufanya biashara humo, Unadhani Sheikh au Imamu au kiongozi wa Msikiti mahalia angelikaa kimya?. Je, utasema anahasira?
3. Yesu hakukamatwa na Wazee. Yesu alikamatwa na kikosi cha Askari (Yohana 18:3-12) na kundi la watu wakiongozwa na Yuda Iskariote (Marko 14:43-49).
Mkuu, katika hali ya kawaida, Wazee na uzee wao wasingeliweza hiyo shughuli ya kukamata au sio ?
4. Mtume Mohammad(s.aw.) alitoka (alikimbia) Makka kwenda Madina......... Je, unadhani waliokuwa wakimfutilia walikuwa ni kwa jambo la Kheri au ni kwa shari?
Ni nani (Roho gani) aliyewahamasisha watu hao kuwa wakorofi vile? unadhani sio Ibilisi / Shetani? By the way, mm siijui (ni mjinga kabisa) inapokuwa ni hoja za Quran.
Ni wapi kwenye maandiko inasema Yesu alitaka kupambana na shetani?Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Exactly. Hapo Mkuu umenena UKWELI. Maelezo yako yamekaa kiuhalisia zaidi - Nimeyapenda. Hata wahenga waliwahi kusema "Wema hawadumu".Kitendo cha kutupa mawe katika bonde la Minah kinamaanisha kuwa mtu amechoka dhambi anajaribu kuvua madhambi yake na kutupilia mbali.
Baada ya Yesu kueneza habari za Mungu kwa muda mrefu, wakosefu hao walikerwa na kitendo chake cha kuwagusa kila mara kwa maneno makali yanayopinga matendo yao, hapo ndipo walipoanza kujawa na hasira na hata kuanza kumdharau na kubehi nyingi.
Lengo la watu wale walitaka Yesu asiwakanye wala asibadilishe yale waliyokuwa wakifanya ikiwemo kunywa vilevi, kuishi na wake wasio rasmi nakadhalika.
Bila shaka ndugu yangu nakupa tafakuri, leo hii nenda kasimame mbele ya watu uwakanye kuachana na starehe, uwazuie kunywa, kushiriki mapenzi, kumiliki mali na pesa alafu uone mapokeo yake, mimi nina uhakika watu hao hawatakuacha uishi, ndio maana vita ya kukosoa ni ngumu kuliko vita yeyote ile.
Hao utakaokuwa ukiwapiga vita lazima watahakikisha kuwa wanakushuhulikia ipasavyo ili waendelee kuishi kama watakavyo.
Umeongea ukweli mtupu 100%Shetani ni mtu poa sana watu wanashindwa kumuelewa kuna kitu mungu anatuficha shetani anajaribu kutuambia ukweli kuhusu binadamu ni nani na kwanini tupo duniani na huu ndio ugomvi ambao mungu anamsakizia shetani
sasa nimeelewa kwanini wanajiunga na matakwa ya shetan wanafanikiwa.Mtume Muhammad alitumia busara kubwa sana kufundisha mema, alikua mjanja sana hakutaka vita na Shetani, wala binadamu muovu yeye alikua anawaeleza watu habari nzuri za Mungu wala hakutaka vita nao.
Ndio maana katika mahubiri yote yanayofanywa na Waislamu, yanaeneza amani hutawahi kusikia Imamu wala Sheikh akisema anampiga Shetani lakini hawa wengine mfano wachungaji wanadai kuwa wanampiga Shetani katika mahubiri yao, wewe unampigaje? kwanza hulingani nae kwa chochote, yupo tangu binadamu wa kwanza hajaumbwa, leo hii uzaliwe wewe umpige? Haingii akilini hata kidogo.
Natoa mfano rahisi- Jeshi la Tanzania linapigana na Jeshi la nchi nyingine na hutawahi kuona Jeshi la Tanzania likipigana na mgambo wa mtaa. Yaani Jeshi la Tanzania liwashe vifaru vyote na mizinga yote likapigane na mgambo wa mtaa? Huo utakuwa ni ujinga uliopitiliza na wala hutawahi kuona popote pale.
Binadamu akisimama na Shetani ni sawa na tembo na kuku.
Labda niseme hivi, nikwasababu tu Shetani anaona hawa hakuna wajuacho na wala hapigani vita na kuku lakini angeamua kuwamaliza ni kitendo cha dakika sifuri. Nasema hivi kwasababu kama Yesu alimalizwa wao ni akina nani awashindwe.
Yesu alieneza habari za Mungu kwa hasira kubwa ndio maana alichukua kiboko akawatandika wale wote waliokuwa wakifanya biashara kwenye hekalu la Mungu na kutangaza vita na Shetani hapo ndipo wazee wa mahekalu wakajawa na hasira kali na kumkamata.
Mkuu YESU hakuumba bali aliumbwa , Yesu Kristo ni mwana wa Mungu siyo Mungu,aliyeumba ni Mungu.Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
Mkuu YESU hakuumba bali aliumbwa , Yesu Kristo ni mwana wa Mungu siyo Mungu,aliyeumba ni Mungu.
Hujasoma neno la Mungu na kulielewa kusudi lake.Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Umetumia kigezo gani kujua uwezo wa huyo shetani? Au na wewe unadhani shetani ana uwezo mkubwa?Kuna baadhi ya watu wanadhani shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshinda binadamu wote. Utakapojaribu kuingia kwenye ugomvi na yeye ndipo utatambua kuwa unajaribu kupigana na jambo usiloweza. Kwa reference fupi, wapo mitume waliojaribu kupambana naye wakaishia kupata adhabu kali zisizoelezeka.
Wakwanza ni Yesu, mwana wa Mungu alipojaribu kupambana nae aliishia kusulubishwa. Ayubu mcha Mungu alipata kipigo kikali sana alipomcha Mungu, Adam na Hawa pamoja na utashi wao wote walitiwa kwenye 18, mitume ikiwemo Stephano walipigwa na mawe mpaka kufa walipoingia kwenye vita na shetani.
Unaposema unataka vita na shetani labda pepo ila sio shetani aliyemsulubisha Yesu, vinginevyo utaishia kuchapwa kipigo kitakatifu.
Jiulize je, kama Yesu na nguvu zake zote alisulubishwa vibaya sana wewe atakufanyia jambo gani?
Una uhakika Mungu muumba wa vyote ameshindwa kumu angamiza shetani?Yani Mungu aweze kumu umba shetani halafu ashindwe kumu angamiza? Ni Mungu gani huyo?Mpaka Mungu, muumba wa vyote ameshindwa kumuangamiza. Kwa taarifa yako Dunia yote imetekwa na shetani. Fanya utafiti, " kila penye mafanikio (hasa ya chapchap) yupo shetani".