Frumence M Kyauke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2021
- 630
- 1,267
Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?Kuna baadhi ya watu wanadhani Shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote...
Jaribu kipitia historia utaona jinsi mitume walichapika na wanavyochapika mpaka sasa,Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
Nguvu alizonazo sio za kitoto ni hatari sanaShetani anafaa kuabudiwa lakini amejificha sana...au sisi ni Miungu tulioshindwa
Haieleweki hii
Kuna baadhi ya watu wanadhani Shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote...
why not usiabudu aliyemuimba shetani? ??[emoji848]Shetani anafaa kuabudiwa lakini amejificha sana...au sisi ni Miungu tulioshindwa
Haieleweki hii
Shetani hana mamlaka dhidi ya Roho (UHAI)ya mtu. Shetani anaishia kwenye kudhuru mwili tu. Na mwili ni Mavumbi (Udongo)na Mavumbini Utarudi (Kifo).Kuna baadhi ya watu wanadhani Shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote, utakapojaribu...
Sio Mitume tu walichapika au wanaochapika hata sasa bali ni yeyote anayemkataa Shetani na mambo yake yote na Fahari zake zote. Lakini mwisho wa siku inakuwa Heri Taifa ambalo Bwana ni Mungu wao.Jaribu kipitia historia utaona jinsi mitume walichapika na wanavyochapika mpaka sasa,
Mkuu, hebu tusaidie tofauti iliyopo baina ya Shetani na Pepo. Mbona zote ni Roho?Kuna baadhi ya watu wanadhani Shetani ni jambo dogo, ile ni nguvu kubwa iliyoshida binadamu wote, utakapojaribu...
Mkuu, Usijisumbue kutaka kumwelewa Mungu - hutakaa uweze milele. Ni sawa na kujaribu kuchota maji yote ya bahari ili uyaweke kwenye kisima ulichochimba wewe mwenyewe kwa mikono yako cha kufugia samaki.Mhhh bado nawaza kuhusu Mungu yaani sielewi yaani
Kwa Yesu, shetani alidhani amemkomoa ila alitimiza maandiko. .. . ilikuwa lazma mwana wa Adamu aje aishi kama mwanadamu na asubulubiwe...afanyike laana ..aimwage damu yake isiyo na hatia kwa ajili ya utakaso wa kila mwanadamu mwenye mwili duniani.. afe azikwe na afufuke..
Msalaba una nguvu kuliko mauti.
Ni mwana wa Mungu.Kumbe yesu ni mwana wa mungu?
Ni kweli mkuu shetani hawezi kuwa na nguvu kuliko Yesu, lakini iko hivi:Yesu Kristo ndiye aliyeumba vyote akiwepo shetani leo hii atakuwaje na nguvu kuliko Yesu?
Mtu amepigwa mawe mpaka kufa alafu anasema ameshindaje?Shetani hana mamlaka dhidi ya Roho (UHAI)ya mtu. Shetani anaishia kwenye kudhuru mwili tu. Na mwili ni Mavumbi (Udongo)na Mavumbini Utarudi (Kifo).
Mkuu, Wote uliowataja hapo juu, mwishoni waliibuka washindi na Shetani unayemfagilia aliaibika mno.
Pepo ni vitoto bado havijamfikia Shetani ndivyo watu wanavyopambana navyo kila siku wakidhani ni ShetaniMkuu, hebu tusaidie tofauti iliyopo baina ya Shetani na Pepo. Mbona zote ni Roho?