CHIBA One
JF-Expert Member
- Nov 16, 2018
- 558
- 2,100
mara Nyingi watu wamekuwa wakiumiza kichwa juu ya ndoa, Wanawaza ntaolewa lini? Ntaoa lini? Mbona wenzangu wameolewa na wanafuraha na waume zao? Mbona jamaa zangu wanaoa kila kukicha..
Naomba nisikukatishe tamaa kuoa au kuolewa, Ndoa ina baraka zake hasa unapokuwa na mtu sahihi.. Tumia sana akili kuingia humo badala ya Hisia...
Kuna uwezekano Ukawa na Lisaa limoja tu la furaha katika kila masaa 24 ya siku.. ni kwa sababu watu wanaingia huko kwa SABABU ZAO na sio Upendo na MALENGO.
(ana gari, ana kazi nzuri, ni mfanyabiashara mkubwa Acha anioe maisha yenyewe Magumu) Hizi ni shida sio upendo.. FURAHA HAIPATIKANI KWENYE NDOA.. FURAHA INATENGENEZWA NA KUJITOA, KUSAMEHE, KUSIKILIZA, na KUWA MKWELI...
Fikiria hasa kwa nini unataka Ndoa kabla hujaanza kutamani kucheepuka na kunywa sumu na kumwagiana Maji ya moto..
Bwana Yesu na Awabariki
Sent using Jamii Forums mobile app