Usidanganyike: Yanga ni Bora Kuliko Simba

Ni yanga tu haina upinzani ni kuchakaza tu timu zingine isipokua azam zinahatari ya kushuka daraja wasipopiga msuli mmmmmh mambo mengine
 
Kapwila Matulu;

Kwa kuwa Yanga imeongoza kwa kila kigezo kilichowekwa na FIFA hakuna haja ya kuweka matokeo ya head-to-head, tungelingana katika vigezo hivyo ningeyaweka Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Kwa maneno yenu haya wanajangwan basi mjiandae kupanda ndege kwa mara ya mwisho safari imewadia
 
Kwa kuwa Yanga imeongoza kwa kila kigezo kilichowekwa na FIFA hakuna haja ya kuweka matokeo ya head-to-head, tungelingana katika vigezo hivyo ningeyaweka Mkuu.
Gwajima amekuwa mbishi kuwasilisha tu hati za mali zake mwenyewe, ambazo nategemea zipo ndani ya sanduku lake nyumbani, sababu haijulikani. Naona hata wewe nimejaribu kukuulizia head-to-head results za mechi mbili za Dar derby, bila shaka matokeo unayo lakini unakuwa kama Gwajima. Labda atatokea mdau mwingine anisaidie kuyaweka hapa
 
Kama vile ambavyo huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono (Lowassa, 2015) vivyo hivyo huwezi kuzuia ubora wa Yanga dhidi ya Simba kwa kutumia head-to-head results.
 
Kama ile ambavyo huwezi kuzuia mafuriko kwa mikono ...
Mkono una vidole vingapi?

attachment.php
 
Aaaaarg usifanye hivyo bwana mito!
Ila kama hujiwezi vumilia hivyo hivyo na endelea na mbinu yako hiyo nisije kukulazimisha tukakupoteza bure!

yaa hii mbinu yangu inanisaidiaga kuhendo presha ndg yangu, si unakumbuka kilichotokea kwa mashabiki wa Brazil walivyopigwa 7 za fasta fasta na Ujerumani!!! hali ilikuwa tete kwa baadhi yao
 
Hahahaaa,haya bwana.
Nakumbuka vizuri tu,na nilikua naishabikia ujerumani kwenye lile kombe.Nilifurahi kwelikweli.
 
aaaha mi nilikuwa nashabikia Brazil ndg yangu, niliishiwa nguvu nikaenda kulala ikiwa 5 bila, asubuhi ndo naambiwa ilifikia mahali hadi wajerumani wanaona huruma kuendelea kufunga, daaah aibu ya karne!!
 
Hahahaaa,pole sana kiukweli! (Najua hutokaa usahau hili).Ni kweli wajerumani walitumia ubinadamu tu baada ya kulipa kisasi chao nasikia waliwahi kufungwa na Brazil goli 5 sijui,lakini wangefanya kweli wangetoka na dozen kabisa bila ubishi.
 
hilo lipo wazi kila mwananchi wa Tanzania anajua kuwa yanga ni bora kuliko simba ila ubishi tu.. kwa nje wanaonekana hawaipendi yanga lakini kwa ndani (rohoni) wanaipenda.
 
Mnapenda kujifariji kweli. Haya hongereni kwa ubingwa, ila nawaonea huruma kipigo mtakachokipata toka kwa waarabu.
 
Mkuu vipi tena? Serikali imeagiza mashabiki tuwe kitu kimoja linapokuja suala la mechi za kimataifa, Tanzania kwanza, vilabu baadaye, au mnataka itungwe sheria ya kuwatia hatiani Watanzania wanaoshabikia na/au kushangilia timu za nje zinapokuja Tanzania?
 
Ha ha ha haaah naangalia upepo huenda nikawa mzalendo siku hiyo.
 
Back
Top Bottom