124 Ali JF-Expert Member Joined Apr 25, 2010 Posts 7,812 Reaction score 5,522 May 2, 2015 #21 G Sam said: Pambano ni saa ngapi kwa EA time? Click to expand... Hili swali lijibiwe na king'amuzi gani kitang'arisha hapa
G Sam said: Pambano ni saa ngapi kwa EA time? Click to expand... Hili swali lijibiwe na king'amuzi gani kitang'arisha hapa
Ngengemkenilomolomo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 314 Reaction score 545 May 2, 2015 Thread starter #22 Fukara said: Acha uwongo pimbi ww Click to expand... Asante mama mkwe
Ngengemkenilomolomo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 314 Reaction score 545 May 2, 2015 Thread starter #23 G Sam said: Pambano ni saa ngapi kwa EA time? Click to expand... Sa 9 uck kaka
Ngengemkenilomolomo JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 314 Reaction score 545 May 2, 2015 Thread starter #24 124 Ali said: Hili swali lijibiwe na king'amuzi gani kitang'arisha hapa Click to expand... Itakua sa 9 uck kaka,kuhus king'amuz ktachong'arisha kiukwel cfaham
124 Ali said: Hili swali lijibiwe na king'amuzi gani kitang'arisha hapa Click to expand... Itakua sa 9 uck kaka,kuhus king'amuz ktachong'arisha kiukwel cfaham
Gman-lz Member Joined Feb 23, 2015 Posts 66 Reaction score 5 May 2, 2015 #25 Jamaa anatisha Ana uwezo wa kurusha ngumi 66 katika raundi moja Huku mpinzani wake "money" akiwa na uwezo wa kurusha ngumi 39 kwa raundi moja
Jamaa anatisha Ana uwezo wa kurusha ngumi 66 katika raundi moja Huku mpinzani wake "money" akiwa na uwezo wa kurusha ngumi 39 kwa raundi moja
L lolowapi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2014 Posts 1,135 Reaction score 490 May 2, 2015 #26 Seeker Dee said: Itakua sa 9 uck kaka,kuhus king'amuz ktachong'arisha kiukwel cfaham Click to expand... Kingamuzi cha dstv ss2
Seeker Dee said: Itakua sa 9 uck kaka,kuhus king'amuz ktachong'arisha kiukwel cfaham Click to expand... Kingamuzi cha dstv ss2
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,898 May 2, 2015 #27 G Sam said: Pambano ni saa ngapi kwa EA time? Click to expand... Inategemea na mapambano ya utangulizi yatatumia muda gani.
G Sam said: Pambano ni saa ngapi kwa EA time? Click to expand... Inategemea na mapambano ya utangulizi yatatumia muda gani.
Uso wa nyoka JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 4,791 Reaction score 2,381 May 3, 2015 #28 buchenza said: Ndugu yangu Dolla million 100 kwa ajili ya washabiki wake 900, ni ngumu kumeza au ulimanisha nini???????????????? Click to expand... Hata kam ticket iwe ya first class kwa zaidi ya dollar 10,000 kila moja, haiwezi kufika dollar milioni 100 kwa watu 900.
buchenza said: Ndugu yangu Dolla million 100 kwa ajili ya washabiki wake 900, ni ngumu kumeza au ulimanisha nini???????????????? Click to expand... Hata kam ticket iwe ya first class kwa zaidi ya dollar 10,000 kila moja, haiwezi kufika dollar milioni 100 kwa watu 900.