Kwanini alimzuia Prof.Assad asikague ununuzi wa ndege?Nina asilimia 10000% Jiwe angekuwepo yasingeletwa mabehewa ya hovyo hvyo , na Kwa bei exaggerated kiasi hvyo , jamaa alikuwa anaipenda Sana miradi anayoivalia njuga yeye mwenyewe , na alikuwa na maono ya mbali Sana na ya kuibadilisha miundo mbinu ya hii nchi ...... Hyo nitakataa mpak kesho , hata ununuzi wa ndege , bei zilikuwa zinasemwa na ukitaka kujiridhisha makampuni ya kuuza ndege yako wazi na bei zao zinajulikana ....
Hv Maghufuli aibe matirioni ya pesa apeleke wapi Yule Mzee , hakuna haja ya kumlaumu Kwa ujinga wanaofanya
Anzisha Uzi wa magufuli kama umemmisi kuliko kusingizia Mambo ya mabehewaWATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.
Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.
Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!
Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!
Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!
Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.
Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.
Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.
Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.
Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.
Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
Asadi analima mboga huko kwake na kazi ilishaisha na hukumu imetoka, ila kama huliziki nenda Kakate rufaa ili huyo magufuli afungwe miaka ili ulizike.Kwanini alimzuia Prof.Assad asikague ununuzi wa ndege?
Aliharibu kila kitu yuleYule alikuwa mwizi
Truth be told
Tulisema akiwa hai,tutaendelea kusema akiwa huko kaburini..
Lakini haimaanishi hakuwa na mazuri yake.
Kipindi hicho hiyo maiti ilikuwa haijafa!Na hili mnadsingizia maiti , duuh
zungukeni tu lazima mtatema ndoano tuWATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.
Wasichokijua, hiyo ndio michongo ya Magufuli. Alilazimisha kununua vitu kwa cash ili kutupiga matukio. Ndege zote zilinunuliwa kwa fedha taslimu ili kutakatisha fedha.
Wataalamu walishangaa na kuhoji; tangu lini Serikali ikawa na vitabia vya kununua kwa fedha taslimu? Mara nyingi Serikali ikiwa inang'ang'ania kununua cash, lengo huwa kutakatisha pesa. Wajanja wachache wachote. Watunze chumbani. Mwisho wanakufa bila kuzitumia. Halafu minoti inakutwa imejaa chumba. Mwizi mkubwa!
Ni kama ambavyo wahuni wachache kwenye Serikali ya Ben Mkapa, walipolazimisha kununua rada kwa cash. Serikali ya UK na Bunge, wakafanya uchunguzi na kubaini Tanzania ilipigwa matukio kwenye rada. Ikailazimisha kampuni ya BAE System iilipe Tanzania. Tukalipwa!
Masanja Kadogosa (DG wa TRC), amesema mabehewa yalilipwa miaka miwili iliyopita. Kwa maana hiyo, mchakato wote ulifanyika na kutekelezwa kipindi cha Magufuli. Watu walishaamua na pesa walishalipa. Samia alikuta vumbi tu!
Mbunge wa Nzega Vijijini, Hamisi Kigwangalla, amesema "Magufuli alipigwa". Hakuna ukweli hapa. Tabia ya Magufuli ilikuwa kila dili ya serikali sharti ipitie kwake. Halafu akafanya vitu siri. Magufuli hakupigwa. Yeye ndiye alitupiga matukio.
Ushahidi ni pale Kangi Lugola na Thobias Andengenye walipoingia mktaba na kampuni ya Romania kwa ajili ya vifaa vya Zimamoto na Uokoaji. Thamani ya mkataba ulikuwa Sh1 trilioni. Magufuli alichukia, aliwafukuza wote kwa sababu dili haikupita kwake.
Zitto Kabwe aliwahi kuonya bungeni tabia ya kuacha dili kubwa, zenye pesa nyingi, kwa Rais Magufuli, ingekuja kumchafua. Mwenyewe hakusikia.
Matokeo ndio haya; behewa moja la treni ya SGR Tanzania ni karibu mara tatu ya behewa bora zaidi la SGR Kenya. Mzigo wote wa kashfa unaelekea kwake.
Ukienda Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (Stiegler's Gorge), bei ambayo Rais Samia ameikuta ni kubwa kuliko uhalisia. Vivyo hivyo SGR.
Yule mwamba alijua kutupiga matukio aisee. Na hivi alitaka kubadili Katiba ili ang'ang'anie madaraka, angekwapua pesa zetu mpaka tungekoma.
This is nonsense, mkataba wa mwanzo si ulifutwa na kina Samia wakaingia mkataba mwingine?ndo huu sasaWATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.

Mkataba wa zamani si ulivunjwa wakaja na mkataba mpya?Kipindi hicho hiyo maiti ilikuwa haijafa!
Shangaa na wewe.makamo wa Rais wa sasa ndo alikua wizara ya kibubu.kama lawama au kuwajibisha panga lianze kwanza na Rais na makamo wake wa sasa.Wakati Magufuli anaiba mapesa yote hayo makamu wake alikuwa nani?
Acha bangi ndege zimenunuliwa kiwandsni na bei za kila ndege zimeandikwa kuleWATU wanashangaa behewa moja kwa ajili ya SGR limenunuliwa Sh2.2 bilioni.