Usicheze na siasa

Usicheze na siasa

babacareeni

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
48
Reaction score
6
Usije kuwaamini wanasiasa mara zote kwa maneno matamu na ya hamasa wanaposhambuliana jukwaani,Utaaibika kama mbea anaechonganisha wapenzi.
 
Siasa ni sanaa wanasiasa wote ni wasanii waigizaji nambari moja lakini hakuna tuzo zao..... pia ni ajira inayolipa sana
 
Siasa ni sanaa wanasiasa wote ni wasanii waigizaji nambari moja lakini hakuna tuzo zao..... pia ni ajira inayolipa sana

Nakubaliana na wewe kabisa.
Ni Ajira inayolipa kuliko kuuza Madawa ya Kulevya

Inategema tu unaushwashi kiasi gani na unanafasi gani kwenye Chama.
Siku hizi Siasa ni Pesa,ila kupata channels za wapi pesa inapoanzia ndio issue hapo,uki force wanaku ZITTO KABWE
 
Back
Top Bottom