Usicheze cheze na tendo la ndoa


Kwani mnapokuwa mnakitafuta kilele cha Kibo huwa kuna mazungumzo ya kzahidiana kupeana mali? si kazi inakuwa moja tuu ya kupanda mlima?
 

Kwanza discussion nyingine wakati wa tendo kama hilo ndizo huondoa mood ya tendo husika maana nyingine zina-disturb. Mimi pia sikubaliani na mijadala au maombi yanayowasilishwa wakati huo. Kama kuna hoja au maombi yafanyika kabla au baada ya tukio, au siku tofauti kabisa. Habari ya kupenyeza maombi wakati wa kukutana kimwili ni dalili za hila!
 
Kwasababu utakuwa umecheza foul kabisa yaani unategemea akili ipo sifuri na yako ipo maximum ndo upewe ahadi inakuwa sio fair game,inabidi muwe mnasuburi baada ya game.

Itabidi tuanze kuwa tunawapatia karatasi mnaandika na tunawasainisha kabisa, naandika mimi ..... naahidi kumlipa .... kiasi cha shilingi 5m nilzomkopa tarehe ......... saini yako. unaweka jina lako sehemu husika na mimi la kwangu, hafu nakusainisha na namba ya simu unaandika, nya... b...a... u
 

Mkuu hiyo ID yako tu! ndo inaniacha hoi,sijui kwanini uliamua kujiita hivyo? hujui maneno huwa yanaumba??.
 
Unajua Kusoma Kiswahili Vizuri Hebu Rudia Mada Tena Upate Kuelewa Wenzio Tumeielewa

Me kiswahili chenga ok,but me huwa nabaki na akili yangu muda wote labda wewe,ndio maana nikaomba source ya hili jambo,ukiniletea kifungu cha bible kwamba delila alimdanganya samson na mwanaume azinie hana akili hii hainiingii akilini kabisa,kasome hivyo vifungu tena.😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…