Dah!huu utafiti tunaomba source yake.
Hapa ni mtu mwenyewe anavyojiweka, haina Jinsia. Mwanaume anakua muathirika ''Vulnerable'' zaidi kwa sababu ya ''Desperation'' yake na focus yake.USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA..!!
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa. MWANAMKE: 1) Aibu huongezeka 2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea 3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum). MWANAUME: 1) Aibu hutoweka kabisa 2) Nguvu za mwili huongezeka 3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero
Kwa sababu zambi nyingine zote anafanya nje ya mwili wake ila uzinzi/uasherati ni JUU ya mwili wake, na afanya jambo litakaloiangamiza nafsi na mwili wake (Maandiko husema)a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!
Maandiko yanasema kwenye kitabu cha Mika, ''Chunga sana ulimi wako uwapo kifuani mwa Mwanamke''b) "Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaiiiiiiiiiiiniiiiiiii". Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri)
maandiko yanasema ''Ishi na Mwanamke kwa AKILI'' so ukikaa nao kizuzu zuzu umekwisha. Maana wana uwezo mkubwa sana wa kutuinfluence na kutu-manipulate.. usisahau hila hila na matazamio ya juu sana..... Walishatamani kuwa sawa na Mungu, imagine?unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote! Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; "Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra. Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, Kede kede na hilo litakuganda mpaka ujute!".
Umeongea kitu cha msingi hapa, ila sio rahisi kueleweka.Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni "sadaka ya amani na haki" kwa wale wa halali na wanaostahili
Dah!huu utafiti tunaomba source yake.