Usiamini bikira amini tabia

Usiamini bikira amini tabia

WE JAMAA BILA HOFU KIPINDI HIKO ULIKUWA NA MIAKA 16, yaani hata kuisoma saikolojia ya msichana ambaye ni mgeni wa mapenzi hujui? kweli we ni LIMBUKENI MKUBWA! hata sasa bado huna utashi binafsi kwa maana ungejitambua usingekuja kumdhalilisha dada wa watu hapa kwenye kadamnasi! HUJITAMBUI na hujawahi KUJITAMBUA wewe ndo uliyetakiwa kumpa mwongozo wa mapenzi binti ili asiaibike ila ndo kwanza ukawa unamchora! mweeeehhh masikini! wanaume tumebaki wachache!
We umetoka facebook nn...humu tunaongea vitu waziiiii ndo mana fake id tuondolee upuuzi wako hapa
 
Back
Top Bottom