mangi jr JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 291 Reaction score 250 Sep 28, 2014 #1 Naomba kujuzwa maana ya haya maneno kwenye simu Wi_Fi hotspot data synchronising root ahsanteni.
Gtrury Member Joined Feb 14, 2011 Posts 79 Reaction score 20 Sep 28, 2014 #2 Kwanza fahamu Wi-Fi maana yake wireless Fidelity hivyo wi-Fi hotspot ni setup utakayoiweka kwe simu yako au Tablet na kuweza ku provid internet kwa mfumo Wa wireless kwa simu zenye wireless zitakazokuwa karibu na wewe.
Kwanza fahamu Wi-Fi maana yake wireless Fidelity hivyo wi-Fi hotspot ni setup utakayoiweka kwe simu yako au Tablet na kuweza ku provid internet kwa mfumo Wa wireless kwa simu zenye wireless zitakazokuwa karibu na wewe.
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Sep 28, 2014 #4 farijiel said: GOOGLE. Click to expand... Mweleweshe tu anaweza ku-google, lakini lugha iliyotumika asiielewe. Just help by using layman's language please
farijiel said: GOOGLE. Click to expand... Mweleweshe tu anaweza ku-google, lakini lugha iliyotumika asiielewe. Just help by using layman's language please