hamza mahundu
Member
- Dec 20, 2018
- 65
- 118
Na utasemaBado hujasema
Nomaakaranga zinaongeza shahawa.kilasiku lazima Nile robo yakaranga nashushia namaziwa freshi
Yaani hapo badooo😃Bado hujasema
karanga zinaongeza shahawa.kilasiku lazima Nile robo yakaranga nashushia namaziwa freshi
Mademu si unajua wapo wengi Mkuu namimi Bado kijana Kwahio nishooshooShahawa kila siku unazifanyia nn?
Sawa.JE, UNAFAHAMU FAIDA ZA KARANGA KWENYE UBONGO WA BINADAMU.
NDIO UBONGO
HII NI SIRI ILIYOFICHIKA KWA MUDA SASA
FAIZA ZA KARANGA KWENYE MWILI WA BINADAMU NI PANA SANA
Karanga zina faida kadhaa kwa afya ya ubongo. Na hizi 👇👇ni chache 🤌🤏kati ya nyingi;
1.Lishe bora
Karanga zina protini, nyuzinyuzi, na mafuta yenye afya kama asidi ya oleik, ambayo inaweza kusaidia kutoa nishati ya utambuzi na kuboresha utendaji wa ubongo.
2.Vitamini na madini
Karanga zina vitamini na madini muhimu kama vitamini E na folate, ambavyo vinaweza kusaidia kulinda seli za ubongo na kukuza afya ya akili.
3.Antioxidants
Karanga zina antioxidants ambazo zinaweza kusaidia kulinda ubongo dhidi ya uharibifu unaosababishwa na radicals bure.
4.Kupunguza hatari ya magonjwa ya ubongo
Ulaji wa mara kwa mara wa karanga unaweza kupunguza hatari ya magonjwa ya ubongo kama vile Alzheimer's na Parkinson's.
5.Kiboreshaji cha kumbukumbu
Inaaminika kuwa karanga zinaweza kusaidia kuimarisha kumbukumbu na utendaji wa ubongo kwa ujumla.
Share kwa wote🙏
Mkuu nakuelewa sana, hiyo ni hekima.Ni baadhii ya vitu siwezi kula niko kwa watu wakat nalala kwao mana nitatia aibu.
-karanga
-tikiti
-fenesi
Na usishaur vijana wale baadhi ya vitu nilivyo orodhesha hapo kwa maendeleo mapana ya taifa letu.
Sorry, zipi sasa zilizochemshwa/zilizokaangwa au mbichi ndio zinazozalisha shahawa?karanga zinaongeza shahawa.kilasiku lazima Nile robo yakaranga nashushia namaziwa freshi
...Mimi napenda za kukaanga nikizila na chai au kawaha...!nashukuru bana,
mie hua nakula kama mboga na ugali, sometimes nakunywa na nchai kama andazi
Mbichi na chai ya rangi ni mujarabu zaidi,...Mimi napenda za kukaanga nikizila na chai au kawaha...!
Mimi kama mbogaMim huwa nakula kama tunda
Unamaanisha Karanga hua unaivunja kisha unakula robo yake?karanga zinaongeza shahawa. kila siku lazima nile robo yakaranga nashushia namaziwa freshi
Kwahiyo unataka kutuambia nini kuhusu raia wa Dodoma na Singida na ulaji wa karanga, na akili zao, na waheshimiwa wanaotoka mikoa hiyo bila ya kuwataja majina ili usilete uchochezi, na hospitali ya Mirembe kujengwa Dodoma...?JE, UNAFAHAMU FAIDA ZA KARANGA KWENYE UBONGO WA BINADAMU.