Usiache demu Guest

Kwa hiyo ulikuwa unapiga chabo

Mbona nimeeleza kwa ufasaha tuu Mkuu. Nilikuwa natoka home ili nifanye tizi. Nikiwa natoka macho yangu yanakuta pazia lipo wazi likimuonyesha mrembo aliyelala uchi
 
Mbona nimeeleza kwa ufasaha tuu Mkuu. Nilikuwa natoka home ili nifanye tizi. Nikiwa natoka macho yangu yanakuta pazia lipo wazi likimuonyesha mrembo aliyelala uchi
Nilikuelewa mkuu. Baada ya kutupa jicho macho yakagoma kutoka. Kilichofuata, ni story nyingine
 
Michezo hii ipo Keko Machungwa kuna watu wajiita wazee wa loose ball.
Hawa wanacheza maeneo karibu na Guest house na wanawasiliana na wahudumu kuhusu wanawake waliobaki bila mwanaume.

Hatari sana hawa ni zaidi ya fisi hawachagui mfupa.
 
jiji la bashite vimbwanga vingi
 
aisee io mbaya sana maana unaweza enda kavu kavu ukaukwaa mkuu kama unatembea na kinga poa lkn kwa maadili sio tabia nzuri

Maadili yenyewe siku hizi yamepata UKIMWI. Hakuna aliyesalama. bora kupiga risasi hata kama adui hatumuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…