Usiache demu Guest

Usiache demu Guest

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,336
Reaction score
10,895
Habari Wakuu!

Tunu kutunukiwa, na mwenye nyota siku zote hung'ara. Misemo hiyo imenitukia mimi Joka lenye kutambaa na kuzama kunako mashimo yenye kiza.

Jana ilikuwa wikiendi. Ninapokaa ni karibu na Lodge moja hivi maeneo ya Sinza. Mnyama niliamka usubuhi na mapema kama ilivyo desturi yangu kupiga Tizi. Bado kulikuwa na kigiza mshenzi hivi. Nilitoka ili nianze mishe za jogging. Oooh! Salale nilishtuka nikiwa siamini kile nilichokuwa nakiona. Nilibung'aa kama digidigi aliyemulikwa na kurunzi usiku. Nini nilikiona, tulia hivyo hivyo nipo na wewe bega kwa bega.

Misuli ya macho ilikaza huku ya mdomoni ikilegea na kufanya mdomo ubaki wazi. Nikama nilipigwa na bumbuwazi. Nilimuona mwanamke mrembo hirimu ya Elizabeth Lulu akiwa uchi wa mnyama kajilaza kitandani huku dirisha likigeuka kama luninga ya mabanda umiza.

Nilisogea kwa kunyata mithili ya paka wa kijijini awindae panya buku. Tayari nilikuwa dirishani. Looh! Utamu wote niliuona, nilihisi kama nimelogwa, kama hiyo haitoshi nilihisi kuchanganyikiwa. Muda wote Jogoo alishakuwika mara kadhaa kabla Petro hajamkana Yesu. Hamadi!! yule manzi alifumbua macho na bila hiyana tulikuwa tunatizamana. Alishtuka na kujifunika uchi wake na mto.

Joka rekodi yangu inafahamika, sijawahi kukosea hasa kwenye ishu za sirius like this. Nilimuomba radhi kwa sauti ya tashwishwi huku nikimsifia uzuri wake namna ulivyonivuta kama sumaku ya magnetic flux sijui nini huko.

Kama zali, nilisikia sauti ikinisihi nizunguke ili niingie ndani. Mamaaa! nilitoka nduki kama kiberenge kisicho na breki. Punde nilikuwa chumbani mtoto akiwa kajfunga taulo. Nipewe nini sasa ikiwa manzi tako tuu yapata kilo mia. Mate na udenda vyote vilitoka huku mapigo ya moyo yakienda mbio.

Demu akaniambia alikuwa na mshikaji mmoja lisaa limoja lililopita sema mshikaji kazingua kichizi. Anasema mshikaji alipiga kibao cha nguruwe akafa kama kuku wa kideri. Jamaa aliondoka usiku usiku kumuwahi mke wake.

Nilipiga shoo ya kimenejimenti na sekretarieti ya ajira huku nikionyesha uzoefu wangu.
Yale mazoezi yote niliamishia hapo huku nikimfinyanga kama unga wa bakhresa.

Muhimu: Wanaume wenzangu, ukienda kulipia chumba Lodge piga kazi ya kueleweka kwani hawa maduu wanazingua kichizi ukiwaacha hewani. Pia usithubutu kumuacha demu Guest kwani sisi vijana wa mujini tupo na tabia ya kila alfajiri kuzungukia guest kuona kama tutapata nyama ya holende.

Nawasilisha
 
Hichi ni kichekesho aiseee
 
Back
Top Bottom