Nape Nnauye
MP Mtama
- Dec 26, 2012
- 99
- 408
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.
Nyie ndo warioba anasema msimtumie Nyerere kama hirizi?
Hakika mkuu Mwalimu alikuwa anabadilika kulingana na wakati sio kumtumia Nyerere kama hirizi
Je unakumbuka swali na warioba kwamba Nyerere akija leo ni nan atamuona msaliti?
CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.
Nyerere akifufuka leo ameone warioba anavyotoa mishipa kuiua Tanzania atamlaani na warioba akimuona mwalim atakufa hapo hapo
Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu,
Nyerere akifufuka leo ameone warioba anavyotoa mishipa kuiua Tanzania atamlaani na warioba akimuona mwalim atakufa hapo hapo
Tanzania haihitaji CCM ili idumu bali CCM inaihitaji Tanzania kwa udi na uvumba ili idumu.CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.
We mjinga wa kutupwa! liko wapi Azimio la Arusha? iko wapi Elimu ya Kujitegemea "Education for Self Reliance" ambayo ilikuwa dira ya Elimu ya Tanzania! Nakutaka uache kumtaja Nyerere kwa maslahi ya mafisadi wanao kutumia kama mpira wa kiume.CHAMA CHA MAPINDUZI kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali Mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama Cha Mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama Cha Mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu.
Wao wanaona moja tu la muungano utadhani muda wote wa utawala wake alisisitiza jambo moja, hata hivyo Nyerere ninayemjua hakuacha nchi mbili kama ilivyo leo.We mjinga wa kutupwa! liko wapi Azimio la Arusha? iko wapi Elimu ya Kujitegemea "Education for Self Reliance" ambayo ilikuwa dira ya Elimu ya Tanzania! Nakutaka uache kumtaja Nyerere kwa maslahi ya mafisadi wanao kutumia kama mpira wa kiume.