Ushuru wa Noah 2003

salasala

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
223
54
Nataka kununua Noah model ya 2003 lakini nina wasiwasi na ushuru TRA, kwa anayefahamu naomba anijuze ili nijiandae kikamilifu.
 
Ushuru pamoja na usajili 4.8 ml gharama za bandari na agent 500,000.00
 
nenda kwa agent wa c an f atakupa hesabu au tembelea web ya tra ya calculator. Ila kanuni ya kibongo unachukua c i f unazidisha mara 2 ndo unapata gharama yake hadi unaiweka uraiani.
 
Calculator ya TRA ni ya kisanii inatofautiana na TRA wenyewe na hiyo imeshawahi nitokea ndio maana ninauliza ili nipate uhalisia wenyewe.
 
nchi ngumu sana kibiashara ubabaishaji na urasimu kila kona, doing business index inaonyesha bado ni nchi ngumu sana kibiashara. Ukitaka kusajili biashara utasota kwa nenda rudi. Mpaka kesho hujui gharama za kodi za uingizaji maana wameweka mfumo lakini hawaifuati, magumashi hadi kiama.hopeless nation in hands of greedy monsters
 
Back
Top Bottom