salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Unazidi kushona mzee[emoji23]wasambaa huwajui??Sasa wewe unajua lugha.. msambaa..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio nn.? Au lugha ya kwenu mpkani na tz
Unazidi kushona mzee[emoji23]wasambaa huwajui??Sasa wewe unajua lugha.. msambaa..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ndio nn.? Au lugha ya kwenu mpkani na tz
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Elimu inasaidia kuondoa ujinga ....Ila upumbavu utabaki palepale. Ndio maana mashule tunayo kibao...vyuo kibao....Ila wapumbavu bado wapo.Chuo Chenu kilishakaguliwa na serikali???
Sasa huyu anaweza kuwa baba wa familia kweli?! Ataweza kufanya maamuzi kweli?! [emoji86] [emoji87]Kwakweli... braza hufai hata kuwa graduate wa veta. Alaf umri wako unaonekana mdogo sana... mpaka na hili ufanyiwe maamuzi
Hata mm najiuliza swali hilo hiloSasa huyu anaweza kuwa baba wa familia kweli?! Ataweza kufanya maamuzi kweli?! [emoji86] [emoji87]
Alamsiki[emoji1] [emoji1] [emoji1] Elimu inasaidia kuondoa ujinga ....Ila upumbavu utabaki palepale. Ndio maana mashule tunayo kibao...vyuo kibao....Ila wapumbavu bado wapo.
Umepata kazi hv karibuni na unataka kumuoa...? OkJamani wapendwa naombeni ushauri,
Nina mpenzi wangu nimetoka nae tangia chuo kipndi tunasoma wote nilikuwa nampenda sana na bado nampenda ila yeye alikuwa ana upendo kama nilivyokuwa nao mimi kwake.
Basi, baada ya kumaliza chuo hivi karibuni nimepata kazi naona ananipenda sana simu Mara kwa Mara na mimi nataka kumuoa je nimuoe au? Naombeni ushauri wenu ndio maana nimekuja huku na kupata mawazo ya watu wengi.
Ahsanteni.
Ushauri wko bdoukisema alikuwa "ana" upendo inamaanisha alikuwa anakupenda pia ila kama hakuwa na upendo inaandikwa na kutamkwa "hana", na sio ushauli ni ushauri, inaonekana una tatizo la kiswahili graduate wa wapi wewe? Sasa wewe ulitaka akupende wakati huna kitu ili iweje?
Thanks kwa kunielekeza kiswahili sijui vzuriUshauri wko bdo