Ushungi kitu gani bana?

Inya ya nguvu hiyo,na hizi mvua km ndo nampata aisee atachezea bao kibao
 
"Wanaume tumeumbwa, mateso, matesoooo, kuhangaika" RIP TX MOSHI. Huyu ni mtesaji kama watesaji wengine!
Mkuu hama huko kwa kadinali njoo huku mizigo kama hiyo unaruhusiwa hadi minne unaweka ndani. Huu wimbo hutaimba tena.
 
Mungu kweli Fundi bhana Na nimekubali Mungu haumbi Magari anaumba watuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…