Ushujaa wampa uraia Lassana Bathily

Ushujaa wampa uraia Lassana Bathily

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,087
Reaction score
34,884
150115010216_lassana_bathily_change_640x360_change.org_nocredit.jpg
Ushujaa wampa hati ya ukaazi nchini
10940470_924689960883003_2988579608098726412_n.jpg


Mwanamume mmoja mwenye asili ya nchini Mali ambaye aliwaficha wauza maduka katika duka kubwa maarufu kama supermarket mjini Paris wakati wa shambulio la kigaidi lililotekelezwa na watu wanaodhaniwa wapiganaji wa kiislamu amepewa hati halali ya ukaazi na kuwa raia halali wa Ufaransa.

Kwa pamoja waziri mkuu wa Ufaransa Manuel Valls na waziri wa mambo ya ndani Bernard Cazeneuve walizungumza katika karamu ya kumpongeza na kumshukuru Lassana Bathily kwa ushujaa wake kwa niaba ya taifa lake .

Kijana huyo ana umri wa miaka ishirini na minne, na kazi aifanyayo ni muuzaji msaidizi katika supermarket hiyo,ambaye alifanya kazi kubwa ya kuwaongoza na kuwaficha katika eneo la juu la chumba baridi cha kuhifadhia bidhaa na kisha akazima taa za duka hilo kubwa ,kisha akawapigia polisi simu kwa msaada wakati walipovamiwa.

Baada ya tukio hilo, likapitishwa azimio aitwe apewe uraia wa nchi hiyo ya Ufaransa ,hata hivyo inaelezwa kwamba Bathily ameishi nchini humo kwa miaka tisa sasa na alikuwa ameshaomba ridhaa ya kuwa raia halali wa nchi hiyo mwaka
wa jana.

Wakati wa uvamizi huo, Amedy Coulibaly,aliwaua watu wane wenye asili ya Uyahudi katika duka hilo kubwa kabla hajapigwa risasi na polisi na kufa.


Chanzo:
BBC
 
'Hero' Muslim employee who saved lives at Kosher supermarket in Paris praised for his courage as he is granted citizenship by France


  • Mali-born Lassana Bathily, 24, saved lives during Paris attacks
  • Kosher grocery employee turned off freezer and hid shoppers
  • He then sneaked out and helped police outside free the hostages
  • Bathily was granted French citizenship and praised for his 'heroism'

The Muslim kosher supermarket employee who saved several shoppers lives during the Paris attack has been granted French citizenship.
Lassana Bathily, 24, was praised for his 'courage and heroism' by Interior Minister Bernard Cazeneuve during a ceremony in the presence of Prime Minister Manuel Valls.
Mr Cazeneuve said Mali-born Bathily's 'act of humanity has become a symbol of an Islam of peace and tolerance.'
Scroll down for video
24E1E14400000578-2918786-Happy_Mr_Bathily_holds_his_French_passport-m-2_1421801896743.jpg


+8



Selfless: When gunman Amedy Coulibaly entered the shop, Lassana Bathily turned off the freezer and hid shoppers inside before sneaking out and helping police free the hostages

article-urn:publicid:ap.org:e942344d728341078609cd51e559bc42-6VjGezqRfHSK2-449_634x444.jpg


+8



Hero: Shop clerk Lassana Bathily who guided six shoppers to safety during the attack on the Paris Kosher grocery where he was working, has been granted French citizenship

6VjGlkCjF-HSK1-2918786-French_Prime_Minister_Manuel_Valls_left_and_French_Interior_Mini-a-12_1421786269722.jpg


+8



Proud moment: French Prime Minister Manuel Valls, left, and French Interior Minister Bernard Cazeneuve, center, award citizenship to Lassana Bathily during a ceremony in Paris

'Tonight I'm very proud and deeply touched,' Mr Bathily, who went to school in Paris, said with tears in his eyes.
He humbly stressed that he does not consider himself a hero, saying: 'I am Lassana. I'll stay true to myself.' Source.
http://www.dailymail.co.uk/news/article-2918786/Man-saved-lives-Paris-grocery-gets-French-citizenship.html?ito=social-facebook
 
Islam means peace. I am proud of what that fellow Muslim did, and wish all Muslims could do the same. The problem is, there are people who spread hatred and brainwash some Muslims for their personal gain. ISLAM MEANS PEACE, may peace be upon that guy!!
 
islam means peace. I am proud of what that fellow muslim did, and wish all muslims could do the same. The problem is, there are people who spread hatred and brainwash some muslims for their personal gain. Islam means peace, may peace be upon that guy!!

islam means submission not peace
 
islam means submission not peace

The-Meaning-of-Islam.-Islam-is derived from the-Arabic-root "Salema": peace, purity, submission and obedience. In the-religious-sense,-Islammeans submission to the will of God and obedience to His law.

PEACE, PURITY, SUBMISSION AND OBEDIENCE. We are both right. Thanks
 
Its great act. I congratulate him for value he places on life than the shot bandit!
 
99% Muslims will do exactly like Lassana did without a second thought. All this hype and Islamophobia are really things that are staged for vile and vicious intentions. The perpetrators are a small group and if you go deeper into their background you will find they are not particularly practising Muslims but are good at raising slogans!
 
Naona #mzizimkavu unajitekenya mwenyewe na kucheka mwenyewe kwani Coulibal naye alikuwa dini gani vile?? Kouch Brothers?
 
Back
Top Bottom