Ushuhuda: Wazazi wanalinda watoto dhidi ya watu wa nje wakati waharibifu wako ndani ya familia

Mimi nimekulia mazingira ya kuchungwa sana. Nilikuwa siruhusiwi hata kujichanganya na watoto wenzangu zaidi ya wa shuleni tu. Hata kukiwa na birthday ya rafiki yangu wazazi hasa mama hakuwa akiniruhusu. Alikuwa anadhani sijui nitaharibika au sijui alikuwa kwanini anafanya hivyo.

Sasa kuna kipindi mtoto wa mama yangu mdogo alikuja kukaa nyumbani. Alikuwa amemaliza form six anasubiria majibu. Kwa wakati huo kulikuwa hakuna dada wa kazi.

Tukirudi shule baada ya kula kawaida wote tunalala lakini akawa anawaambia wadogo zangu wao wasilale waende wacheze nje halafu mimi ndio naambiwa nilale. Kwa njia hiyo akanifanyia anachotaka kunifanyia.

Nakumbuka sikuweza kwenda shule takribani wiki nzima. Niliumww nikapelekwa hospitali nikapatwa na malaria na dawa nilimeza. Sikuwahi kuwaambia wazazi wangu, akaendelea na tabia yake hiyo mpaka akaja kuondoka.

Mara nyingine mtoto wa aunt yangu alinifanyia kitendo kinachofanana na hiko. Kipindi hiko sisi na aunt yetu tulikuwa tunaishi karibu. Sisi Tabata Bima aunt yangu anaishi Tabata Alfaruk; sio mbali ziko karibu karibu.

Nilikuwa standard 7 yeye mtoto wa aunt yangu ambae ni kaka yangu alikuwa anasoma chuo sijui IFM sikumbuki vizuri. Mama akaniambia niwe naenda ananifundisha mathematics nilikuwa naenda Ijumaa hadi Jumapili.

Huyu kaka yangu ambae mtoto wa aunt yangu pia akanifanyia anachotaka kunifanyia. Kuna siku aunt yangu alitukuta tukiwa pamoja alimgombeza mtoto wake akampiga lakini akanibembeleza nisije kumwambia baba na mama au mtu mwingne.

Yote yanatokea sikuwahi kumwambia mtu yoyote zaidi ya leo naandika hapa. Lakini kitu ambacho najiuliza kwanini wazazi wangu walijitajidi sana kunizuia na watu wa nje ya nyumbani wakasahau kunizuia na watu wa karibu yangu mpaka nikawahi kufanyiwa mambo ya utuuzima nikiwa na miaka kumi tu.

Natamani siku niwaulize kwanini waliwaamini sana watu juu yetu sisi lakini siwezi sababu hawajui sikuwaambia na sitawaambia itabaki siri yangu. Lakini siku hata nikawa na familia yangu siwezi kuamini mtu yoyote juu ya watoto wangu

Hili ni funzo sana kwangu!
Pole sana my dear, wasamehe wazazi wako, walijitahidi ila waliwaamini ndugu, ujifunze, wewe sasa usiwaamini wote!
 
Binafsi nina watoto watatu wote ni KE sitaruhusu kamwe kuwalaza na mgeni yeyote kama napata ugeni...kila mgeni anakujaga na tabia zake huko atokako hili nalo la kuchunga sana....ile kusema"we joni na samweli mtalala na ndg yenu huko.....!!"...kwangu hiyo haipo.... tunawapenda wfn lakini familia kwanza....
 
Mtoto kusema ni ngumu sana inategemea na mzazi huongea vipi mtoto na mnamazoea ya kuongea lakini mzazi busy mpaka usiku saangapi kukaa na mtoto akuzowee, wala wasilamu mtoto kutokusema
Mzazi anaweza kuwa anaongea na mtoto, lakini kusema kunatokana na mahusiano yaliyopo kati ya Mzazi na mbakaji, mf kama ni baba wa kambo au anko na mtoto anajua mama ma mbakaji wanaheshimiana sana au kupendana sana, mtoto anajua akisema atavunja mahusiano yenu, ataabika na huenda asiaminiwe.

Mf hilo tukio nililolisema, huyo baba wa kambo inadaiwa alikuwa mkali sana, hata mama mtu alikuwa anapigwa, ila familia ilikuwa inamtegemea kwa kipato, akiingia ndani kila mtu kimya, hiyo ikawa fursa kwake kumbaka mtoto bila upinzani, mtoto akaamua kujiua.
 
Ni kweli asee hata Mimi nichukue nafasi hii kukiri nimeshaharibu madogo kadhaa wa home ndani
Nilivokuwa nimemalizaga form four 2009 nilimfanya mtoto wa mama angu mdogo ila hakuwa mdogo alikuwa mkubwa tayari.alafu ma beki tatu kiukweli nishawafanya karibia wote hakuna beki tatu ambaye niliwahi kumuaacha kawe katoto au awe mkubwa.alafu tukio lingine nakumbuka nilikabaka katoto Cha mpangaji mwenzetu tena ilikuwaga ndani kwetu.Mungu nisamehe Sana tuepushe na dhambi hii ya uovu was uzinzi.maana siwezi kusema nimeacha majaribu bado mengi Sana Kama Kuna hako katoto kengine Cha maza mkubwa kamemaliza la saba juzi ila kamependeza yaani kanatosha kabisa sijui kameshaanza hii michezo kananizoeaga nyie kaacheni tu katakuja kushangaa nimekaaharibu.siri hii msimwambie mtu nimewaambia nyie tu Wana jf.ila sio tabia nzuri jamani tubadili tabia Ili tuende mbinguni.
Moderator this is a self confessed rapist!
 
Na mbaya zaidi adui wakubwa wanaofanya hayo mambo ni wale wale wa karibu ambao ndo wana jukumu la ku protect hao watoto, mfano baba, kaka, jirani, ba mdogo, mjomba, mume sijui wa shangazi, mume wa mama mdogo, rafiki acha tu
Na kwa hiyo watoto wanawaamini na kuwasikiliza sana.
 
Binafsi nina watoto watatu wote ni KE sitaruhusu kamwe kuwalaza na mgeni yeyote kama napata ugeni...kila mgeni anakujaga na tabia zake huko atokako hili nalo la kuchunga sana....ile kusema"we joni na samweli mtalala na ndg yenu huko.....!!"...kwangu hiyo haipo.... tunawapenda wfn lakini familia kwanza....
Kuwalaza watoto na wageni ni kosa kubwa sana - wawe wa jinsia moja ama tofauti. Labda na wewe mwenyewe ukalale humo humo.
 
Hao ndugu zako waliokufanyia umafia kama bado wapo, waulize kwa nini walikufanyia huo unyanyasaji?
 
At the age of 14, mjomba who was married already alinishika matiti, nikaruka nje usiku wake, aliunda zengwe alinipiga mno sitosahau, akaniambia matrakoo yamekuwa makubwa ndio maana nina kiburi. Nipo in mid 20's Nina watoto wawili, watatu is coming soon, amekuwa mlezi siku hizi full kupatana na mkwe wakeeee!
Your recreation sent him a clear message. That was good. Kama haupendi kitu usimchekee mtu.
 
Back
Top Bottom