Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
- Thread starter
-
- #21
Mimba ya week moja inastua kidogo....
Ila natamani kujua kama Pastor aliishia kwenye maombi tu.........!!!
Mimba ya week moja inastua kidogo....
Ila natamani kujua kama Pastor aliishia kwenye maombi tu.........!!!
Mmemuona Pastor, halafu ndani ya wiki mambo yakajibu?! Huh! Anyway, never mind. Hongera kwenu bro.
Mmemuona Pastor, halafu ndani ya wiki mambo yakajibu?! Huh! Anyway, never mind. Hongera kwenu bro.
nilikuaga naskia tu watu wanashuhudia miujiza leo kwangu nimejionea. Heshima yangu ilishuka sana na nilikua najiona kama sio mwanaume vile
Hata mimi ningekuwekea mikono tu mbona mngeenda kupata mtoto?
Hngra xn
Nimeamua kuamini kuwa,hiyo mimba ilikuwepo kabla ya maombi..hata hivyo,hongera sana.
haya bana baba mchungaji bila shaka unawasaidia wengi pia hapo ulipo
Hahaha. C'mon Mpendwa. Reputation ya watumishi wengi siku hizi inajulikana. But my sincere apologies kwa mleta mada. I shouldn't have said that.Paulo na Babu hebu muacheni mletauzi.........
Kwanza hongera ila endelea kusali na kuomba maana mimba si mtoto mkuu. Pili heshima ya mtu hailetwi na mtoto kama mtu anaamini hivyo atakuwa na matatizo ya kufikiri. Suala la mtoto ni majaaliwa tu.nilikuaga naskia tu watu wanashuhudia miujiza leo kwangu nimejionea. Heshima yangu ilishuka sana na nilikua najiona kama sio mwanaume vile
Na ndio alichosema pastor kuwa mimba zinaingia ila adui anaziua na hiyo inasababusha wife apate maumivu makali kila bleed so akakemea hizo roho za mauti ziharibuzo mimba na ndo mana akasema kabisa nendeni mkafurahie akijua hakuna tena uharibifu. Cha kujiuliza na ni kwann dis month baada ya prayers na sio kabla. Glory to God hata kama huamini
Mmemuona Pastor, halafu ndani ya wiki mambo yakajibu?! Huh! Anyway, never mind. Hongera kwenu bro.
Mpendwa kwanza hongereni sana wewe na wifi. Hakika hakuna jambo lolote Mungu asiloliweza
La muhimu zaidi, mnamuhitaji Mungu muda huu than ever. Umeona vita yenu ilivyo, mkianguka tu kiimani au imani yenu ikipoa, usije ukashangaa mimba ya mkeo inaharibika ikiwa kubwa (God forbid). Hizo roho haziendi mbali, mkizipa tu nafasi zinarudi kwa nguvu zaidi na kufanya uharibifu mkubwa zaidi kwenu. Lindeni ushuhuda wenu, ombeni sana, toeni sadaka na chochote mnachoweza kifanya as long as kinazidi kuwaweka karibu na Mungu. Mungu amlinde mkeo na mtoto wenu tumboni. Amen