Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,190
- 1,324
Mchungaji gani huyo Mkuu
Mmemuona Pastor, halafu ndani ya wiki mambo yakajibu?! Huh! Anyway, never mind. Hongera kwenu bro.
Mmemuona Pastor, halafu ndani ya wiki mambo yakajibu?! Huh! Anyway, never mind. Hongera kwenu bro.
Hngra xn
Amen ,ubarikiwe
Mchungaji gani huyo Mkuu
Hata mimi wasiwasi wangu ni kama Pastor alifanya maombi tu. Na jinsi alivyo-sound excited..."wanangu mlikuwa wapi siku zote".Mimba ya week moja inastua kidogo....
Ila natamani kujua kama Pastor aliishia kwenye maombi tu.........!!!
Haisaidii kujua jina la mtumishi, Mungu ndiye atusaidiaye. Mwamini mtumishi lakini Mwamini zaidi Mungu.
"...mwaminini Bwana, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa." - 2 Mambo ya Nyakati 20:20
Nampa hongera mleta mada! Imela, keep on trusting God!