Ushuhuda wa mabinti

Ushuhuda wa mabinti

Siku za ajabu

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2012
Posts
1,369
Reaction score
987
kama kuna binti au kijana ana shida yoyote haelewi pa kuanzianamshauri aje kanisani sabasaba viwanja vya ngorongoro kwa pastor katunzi kila siku saa kumi nimeona kwa machomabinti ambao waligoma.kwenda shule kumbe wametupiwa mapepo wasisome na sasa wamefunguliwa kumbuka maombi ni bure hapa kwa mchungaji katunzi.ni hapa dar viwanja vya sabasaba maonyesho.
 
Safi sana,Mungu ni mwema sn. Ila hujasema ni mkoa gani huko
 
na wasioamini katika DINI ya kikristo waende wapi?

Pale kanisani hapachagui dini waka kabila juzi alikuja mama muislam tangu aolewe alikuwa anaumwa na anamiaka mingi kwenye ndoa hajazaa anasema siku ya ndoayake ya kiislam alikuja mabibi watatu wakampa chakula ale tangu siku hiyo ni mgonjwa kahangaika haponi na wala hashik mimba mchungaji alimuombea na akasema anajiskia vizuri,akaenda zake yesu achagui dini anamponya mwenye kuamini atapona si huyo tu ni wengi kwa macho ni meona.
 
Well, nilikua naangalia StarTv asubuhi kwene jarida maridhawa or something like that, kuna shule huko Tabora inaripotiwa ina wanafunzi 4 waliokua wakitarajiwa kufanya mtihani wa form 4, huku ikilalamikiwa kua wakazi wa kata husika hawana mwamko wa elimu. Sasa unaoneje ukimshauri huyo mchungaji akatembelea huko maana inaonekana kuna mapepo mengi, watoto wanakataa shule na wazazi nao habari hawana.
 
Pastor katunzi yupo vzr sana jamani mzee wa by force by power lazima kieleweke tu...love this pastor aiseeehh
 
mchungaji an kanisa analichunga zaid ya watu 2000 kila siku ni ibada na huwa ana mialiko mingi kias cha mingine kushindwa kwenda kashaenda kwenye shule kashaa na wengine walileta watoto wao kuombewa kwahiyo jambo kama hilo ni gumh kulisemea kwa kuwa mimi si msemaji wake wala mtu wa kanisa hilo ila naenda hapo sana kwa kuwa nimeona mungu anamtumiasana kiwafungua watu kila ibada ina nguvu za mungu na kila anaekwenda anaona kwa macho.
 
Pastor katunzi yupo vzr sana jamani mzee wa by force by power lazima kieleweke tu...love this pastor aiseeehh

umeona anna,yuko vizuri sana na kwa kuwa ni muombaji sana yani ni.kuomba n kufunga mwanzo mwisho leo ni 26 dayz fasting sio mchezo.
 
piga piga,kanyaga kanyaga sitaki tena mwisho,walikutupia majipu,tunawarudishia majipu yao,waliokuzibia,tunawazibua leo by force by power of Jesus Christ,mpe Yesu makofi ya shangwe na vigelele.
 
Hayo mombi tumeshayastukia. Acheni usanii. Kila kitu mapepo.
 
Sio usanii jamani pastor katunzi yupo vzr mnooooohhh Mimi ni mkatoliki lkn nimejikuta nimezamia kwa katunzi bana acha kabisa aiseeh...
 
Sio usanii jamani pastor katunzi yupo vzr mnooooohhh Mimi ni mkatoliki lkn nimejikuta nimezamia kwa katunzi bana acha kabisa aiseeh...
Ndugu yangu usidanganywe, hakuna kitu hapo! Matatizo hayatatuliwi kwa naombi, maradhi hutibiwa kwa tiba sahihi sio maombi. Huyo ni mjanja tu.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom