Ushuhuda wa kweli wa kilichonipata

Bujibuji we ni rafiki yangu kuanzia leo, coz akili zimekulejea Mie nilikua nakushangaa Kumbe hukuwa wewe

Jaman kwa yeyote aliekosewa na bujibuji kwa comments zake amsamehe coz akili hazikua zake.

Ila kuanzia leo yupo timamu,tumshukuru MUNGU!!! KARIBU JF BUJIBUJI NA AKILI MPYA!!! [emoji56]
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Hv story yako isingenoga mpaka umemuingiza mpenzi wangu Ben?
Unajua nina uchungu kiasi gani kupotelewa nae?
Next time tafuta wa kuwatolea mifano, si Ben Saanane wangu.
Maumivu yalipona na nilisahau, unayatonesha upya.
Nimemaliza.
 
Wataalam wa limbwata utawajua tu, yaaani hujaumizwa kwa ishu ya sir8 umeumizwa na kukusema wewe na yule Mkurya wako hapa jukwaani.
 
Nimeipenda hiii.
Hebu sikiliza hii album kali kuliko.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…