Ushuhuda wa kweli wa kilichonipata

Huyo mchumba wako ni mvumilivu kweeeli, miaka mitano yooote!!!!

Lililopangwa na Mungu mwanadamu hawezi pangua, sifa na utukufu zina yeye aliye juu!!!
 
Sio kila anayekuchekea ni mwema kwako...hasa wengi mnaoishi kwenye miji mikubwa kama dsm! Kuna watu wameumbwa hapa duniani, furaha yao kubwa ni kuona wengine hawatoboi katika maisha haya! Ila ipo siku tu!
Kweli kabisa ulimwengu umejaa wanafiki sana unaweza kuwa na rafiki/ndugu wa hali na mali unajitoa kwake kwa nguvu zote kumbe unahakikisha kila jambo lake linafanikiwa kumbe yeye ndiye adui yako namba moja anavuruga kila jambo lako huku amejificha katika tabasamu na upendo ulioficha chuki isiyokuwa na sababu juu yako
 
Jina na Damu ya Yesu ni kiboko ya Wachawi, Mapepo na Majini.
 
Umh .
 
Kuna watu hawana huruma, na siku ya mwisho watachomwa vibaya sana, tena kwa moto wa njiti ya kiberiti ili wateseke mpaka wajute kutenda uovu
Tatizo wanafikiria maisha tu ya hapa duniani na kutesa wenzao,hawafikirii kwamba ipo siku watakufa na sijui wataenda kujibu nini kwa Mungu
 
Bujibuji is back huyu ndio buji ninanyemjua mimi mzee wa punchlines kali ha ha nice stori hii asipoikopi Diva wa clouds sio mimo labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…