bibliatimes
Member
- May 13, 2025
- 7
- 9
USHUHUDA HUU UKUFUNDISHE KITU
👇♨️♨️♨️♨️👇👇
[5/15, 11:59 AM] wione FX: Ngoja sasa nishuhudie mafunuo yangu juu ya semina ya hii ya tano.
Maana jana niliskiliza sikumaliza...sasa asubuhi hii nikairudia 😭😭😭😭
Mungu anasema , Mungu anasema n Mungu ni mwaminifu hakika
Mungu mwacheni abaki kuwa Mungu. Maana hii n vitu vimetokea zaidi ya miaka 15/16 iliyopita.
[5/15, 12:41 PM] wione FX: Nikiwa kidato cha pili nilianza kukengeuka,shuleni kwetu analihamia pale shuleni gafla tu kimasihara tukaanzisha mahusiano. Mwenzangu kwao walikuwa matajiri kaka yake alikuwa na mahoteli(hizi logi ndogo ndogo kibao Arusha mjini)
Basi tukakubaliana tukishamaliza mtihani ule wa kidoto cha pili twende Arusha kwa siku mbili ,tatu ndo niende nyumbani 😭😭 Hapa ndo kifungo changu cha majira kuliwa kilianza, ndoa n kiuchumi pia.
Kweli tulifika Arusha na nikaa siku mbili pale nikapoteza usichana wangu pale , siku ya kuondoka nakumbuka kaka yake yule mpenzi wangu baada ya kunisalimia akamwambia Dogo usimwache huyu binti ndo utajiri wako huu ,
Siku ile nilifurahi kwa maana nilijua shemeji amenikubali kwahiyo nikimaliza shule tu ndoa hiii hapa 😰😰😰😰
Basi maisha yakaendelea tukiwa pale pale shule tukaja kuachana,
Tukamaliza shule kila mtu akakamata ustaarabu wake.2009 hiii ndo tulimaliza
Baada ya kama miaka 4/3 ivi akawa ananitumia jumbe FB anataka turudian n mimi hapo n mimi hapo sikuwahi kuwa n mtu mwingine zaidi yake. ,tukarudiana kweli hapo wote tumeshamaliza chuo. Wakati huo yeye anafukuzia nafasi ya jeshi akasome tena, siku moja kabla ya kwenda kwenye interview jeshini akaniambia uje tuwe wote aise siwezi kwenda bila baraka zako , kwa wakati ule nilijua n mapenzi n mimi kichwa hicho nikaenda ,na akafaulu akabaki tu kusema tangu tumerudi ana mambo yangu yaenda poa kweli ,wewe ndo mke wangu😰😰
Wakati huo mimi hali yangu n ngumu kuliko maelezo, sina hata mia mbovu ,naishi kwa kaka yangu nahangaika kutafuta kazi sipati ,Yani hakuna ninachokiona hadi kazi ya kuuza chakula nilikuwa nakosa .
Nakumbuka nilikuja kwenda semina ya mwakasege kipindi kile anafanyia viwanja vya chuo. Tena nilipata kwenye semina baada ya kukosa sehemu ya kwenda , Yani nimedhururaa weee n jua la Dar nikaon niingie hapo nipumzike ndo nianze safari ya kurudi nyumbani.
Siku ile baada ya maombi Mungu mwema nilifunguliwa... Rafiki yangu akaniunganisha kazi Zanzibar.
Ili ujue kwamba ulimwengu wa Roho huwa wanajuana na wanajua kila kitu kwa kukuona tu , nafika tu Zanzibar n njaa zangu za hela, nikakutana n kijana mwingine naye anamiliki hoteli zile ndogo ndogo za Beach. Baada ya mazoea naye leo ndo nakumbuka haya maneno UNAFA SANA LAKIN MPAKA NIKUTOE ULIPO Basi akawa ananiletea zawadi marashi ya kila aina na Cheni baada ya mda tukawa wapenzi jamani jamani yule kaka alikuwa ananipa hela si mchezo .
Gafla nikafukuzwa kazi bila sababu,mara nikawa sielewani na kila kila mtu ...nikawa najua wananionea wivu vile yule jamaa anajiwe..😰😰😰😭kumbe nilikuwa najimaliza na kupoteza maisha yangu...nikapitia mateso mateso hapo weeee nikarudi Dar baada y mwaka .... Nikaja kukuta n kija mwingine wa kislamu huyu sasa ndo alinifungua akili (au tuseme ilikuwa ni mdaa wa mimi kutoa upande wao)yeye aliniambia kabisa wewe una nyota nzuri maana tukilala wote siku hio nikifika kwenye biashara nauza sana maana yeye alikuwa mfanyabiashara wa matikiti Yani 🙌🏻🙌🏻 twende nikupeleke kwa mtaalamu nikakusafishe maana umechafuka n.k
Ashukuriwe Mungu ilikuwa Mungu ilikuwa ni December nikamwambia naenda nyumbani kwanza nikirudi tutakuja kuongea...na mimi nikafika nyumbani nikamweleza mama kuwa nimepata mume mwislamu lakini ninefungwa nikamweleza mama kila kitu ,mpaka hela anazonipa ... jamani mtumishi mama yangu aligomba pamoja na ukubwa niliokuwa naona +mambo kibao nilikuwa nafanya hapo nyumbani mama alimkata akasema ukienda tu kwa mganga umekufa ,yani umekwisha n utaletwa hapa kwenye jeneza.
Mama ndo kunipekeka kwa mtumishi flani ivi huko huko moshi akaniombe weee na kunitenganisha n roho wa waislamu n kubadili dini n.k
Baada ya hapo nilikaa single karibu miaka 2 ndo 2017 kuja kukutana n mume wangu huyu ...lakini kufunga ndoa ilikuwa Kimbembe.
Namshukuru Mungu kwa huuu ufunuo
Namshukuru Mungu nimekutana n wewe mtumishi.
Katika miaka yote pamoja na kuwa na Diploma kwenye PR +nikaongezea tena na short course ya secretary ili tu iwe rahisi kupata kazi lakini nimewahi kuajiriwa mara moja tu kule Zanzibar... Hapa bara sijawahi mpaka hamu ya kazi sina tena.
Kuhusu biashara sasa nina bahati ya kupata mitaji mikubwa n kufungua biashara lakini mwaka tu naanza kuwaza kufungu n kweli nafunga ,mwaka ujao naanza tena upya., sijawahi kufanya jambo langu likaenda
Lakini nikipewa jambo la mtu mwingine nalisimamia vema ,linakuwa n linaleta matunda.
[5/15, 12:47 PM] wione FX: Namshukuru roho mtakatifu kwa haya mafunuo ya leo ..nimepata changu nimefunguliwa ninejua chanzo changu cha kutokupiga hatua.
Mtumishi unakumbuka ile ndoto ya mimi kuota kuwa nipo kwenye gari watu wanaanishangilia alfu akaja kijana ana elf 10 mbovu anataka nimpe yangu mpya ,nikamfata n kumnyang'anya ile nikarudi zangu kwenye gari.
Pia unakumbuka ile ya mimi kupewa ua la rababendi kubwa sanaa ... wakati wenzangu walipewa red roses 🌹🌹🌹
Katika Izo ndoto zote nakumbuka majibu na meneno yako.
Mungu n mwaminifu hakika Yani mwaminifu sana nimejua ulichosema nitajua niendelee kutulia n kuomba Mungu.
Nimejua mtumishi ,sifa na utukufu n kwa Mungu
Mwaka huuu kweli Mungu amenipendelea katika eneo la kunijenga.
Mambo ninayo yaona ndani ya madhabahu hiii sijawahi kujua yapo 🔥🔥🔥🔥
Mungu wetu n Mungu wa majira hulituma neno ili limponye n kumwokoa mtu .. leo na mimi nimepata changu 🔥🔥🔥🔥🔥
Asante Mungu
Asante Roho mtakatifu
Asante Baba yangu wa mbinguni
Asante Mungu.
Sifa na utukufu tunamrudishia Mungu kwa ajili ya madhabahu hiii hakika Mungu yuko mahali hapa.