Ushuhuda: Tuache kutafuta mahusiano MITANDAONI

"Tuache kutafuta mahusiano mitandaoni". Najaribu kujiuliza, hivi huwezi kukutana na mwathirika bar, barabarani, kanisani, kazini, beach na ukamtongoza na mkafanya yenu? Kwanini mnaisingizia mitandao? Mitandao ni sehemu ya kukutania kama zilivyosehemu nyngine bhana.
 
Ata mimi nilikuwa na mtazamo kama wako siku ya kikukuta tutakuja kukushauri
 
Mhhh. Siku ta 3 unakula vitu bila hata kanda mbili na mabusu juu. Kama si urongo basi wewe huna akili. Kikwetu msichana akikubali ndani ya siku 3 kimbia kabisa. Tena achana naye.
 
Mi mwenyewe nimekutana na msichana mzuri mtandaoni na ana tabia njema hadi raha. Social media zinarahisisha connections ila inategemea na akili ya mtumiaji anaiendesha vipi halmashauri ya kichwa chake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…