Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,742
- 2,679
Mashangaziiiiiii...........
Hapo kwenye halafu au unajua nini hapo,usingejibu ni mtego huo.[emoji1787]Mchezo umeisha vizur kabsa, hawa viumbe(mashangazi) hawanaga longo longo!!View attachment 2689361
Mchezo umeisha vizur kabsa, hawa viumbe(mashangazi) hawanaga longo longo!!View attachment 2689361
Mkuu hiyo meseji yake ya mwisho ni mtego , hapo tunakaushaga mwamba.Mchezo umeisha vizur kabsa, hawa viumbe(mashangazi) hawanaga longo longo!!View attachment 2689361
Mkuu huyu sina shaka nae, i mean yupo stable kiuchumi .Rejea post ipo page #1Mkuu hiyo meseji yake ya mwisho ni mtego , hapo tunakaushaga mwamba.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mashangazi yatanitoa roho yani ndio nafinyiwa kwa ndani kwa mashangaziTumepokea maua yetu[emoji109]