USHUHUDA: Miaka 3 bila ya kuugua

Yeah Ndio chief wengine wanaenda mpka miaka 5,9,7 kidonge awaijui mimi nafanya mazoez kwa sababu mwil wangu Una nature ya unene.. Nikijisahau6 kidogo tu nanenepa hatali.. Kitambi kama chote

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana. Mimi kwa mbio za hapa mjini nilisha confirm kuwa 100% sitakaa ninenepe na sijawah. Ila nikirudi mama na mzee mkoa huko kwa mapumziko aisee week 1 parefu najenga mwili hatari kabisaa. Lakini nikurud town sijawahi kuvita kilo 68 mpaka leo at 30's .
Unene jau sana
 
Yeah naendelea kushukuru kwa muumba kwa kunijalia Siha njema..

Kundi la damu ni group "O"ila sikumbuk ni neg Au pos.. Nilipima kitambo kidgo
Mwambie Mungu azid kukupa uzima sio wewe tu ni pamoja na generation yako.

Kwa uliyoongea mengi kama kweli unafuatilia, ni sawa kuugua ni issue kwako.

Una damu group gan pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran chief na hongera pia.. Kwnye tetekuwanga Ata mwenyewe sielewag wanasemaga usipougua utoton utaugua ukubwani.. Na ukiugua hauugui tena kwa sababu mwil tayali ushatengeneza antibody ya io tetekuwanga

Ila cha kushangaza watu bado wanadunda tu.. Na hawajawai kuipata
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmh basi tuko tofauti sana binadamu..mimi binafsi mara ya mwisho kuugua ilikuwa 2009 mwanzoni mpaka leo sijui kitu kinaitwa vidonge sijui panado, mseto yani navisikilizia kwa wenzangu tu. Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa afya njema anipayo kila siku. Na pia ni muumini sana wa mazoezi mepesi mepesi: push up,kamba kuruka na viungo kidogo ambapo huwa nafanyia nyumbani vyote hivyo.
 
Hongera chief sio kitu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una raha na hongera!...kwenye mazoezi ni wito jamani dah! Tena na micorona hii tutabust wengine!😥😥😥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…