Upuuzi mtupu,watu wanakula mihogo non stop unadhani cyanide itawaacha,watu wanakula michumvi ambayo haina iodine akili waikute wapi?.Hakuna mchawi hapo anaunga kuu doti ili apate umaarufu.
Kwamba alikuwa mchawi akaachanau hakuwa hai kuwa mchawi, Mimi sina jibu. Lakini kuna mambo yanafikirisha:
1. Ikiwa anachosema ni uongo, mbona Serikali iko kimya? Kuna maeneo Seriakali imeguswa, kama asili ya mbio za mwenge, kifo cha Sokoine, Waziri Mkuu kutokuwa Rais wa Tanganyika, Makweta kuzubaishwa ili asigombee Urais, n.k.
2. Kujua ni kosa la jinai. Lakini huyo mtu kuna maeneo alikiri kujua watu kishirikina na alisimulia jinsi walivyotoa kafara mpaka ya watch hai kwenye tambiko la Lindi. Unaamini kuwa Serikali haikupata hiyo clip? Mbona haikumchukulia hatua yoyote?
Ukiyatafakari hayo, huenda ukashawishika kukubali kuwa yana mashiko, vinginevyo, asingekubali kuyaweka YouTube kwa ajili ya kusikilizwa na kila mtu wakiwemo viongozi wa Serikali.
Inakutaka uwe mpumbavu hasa kuukubali huo upumbavu. Hebu nyie waamini nisaidieni hili
Kusudi la Mungu laweza zuiwa na binadamu? Kama laweza zuiwa, hizo nyimbo mnazotuimbia kila siku akipangacho yeye hakuna wa kukipangua huyu ni Mungu wa namna gani?