Ushuhuda, kuagiza gari na befoward

Ni kwamba tz wanaoweza kumiliki gari za kuanzia 2022 kuja juu ni wachache sana?

Mbona huko be forward nmeona ford ranger za 2023 no dola 35, 000 tu?
 
Ni kwamba tz wanaoweza kumiliki gari za kuanzia 2022 kuja juu ni wachache sana?

Mbona huko be forward nmeona ford ranger za 2023 no dola 35, 000 tu?
Kwa hiyo gari ya dola 35,000 kabma ya kodi ni bei ndogo? Hiyo ni milioni 80 kabla Port na TRA hawajakupiga na kodi. Jiulize ni wangapi wana uwezo wa kununua gari za zaidi ya mil 100?! Si wengi sana
 
Ni kwamba tz wanaoweza kumiliki gari za kuanzia 2022 kuja juu ni wachache sana?

Mbona huko be forward nmeona ford ranger za 2023 no dola 35, 000 tu?
Convert hio kwenda Tsh na uweke na Kodi ya TRA then tuwekee hapa jumla uliyoipata.
 
Unajua thamani ya Mitsubishi Outlander, RVR, Nissan Dualis, Xtrail, Toyota Harrier, Cross nk brand new mkuu? (nimetaja gari zinazonunuliwa sana na watu wa uchumi wa kati)

Hakika wengi tusingeweza hata kumiliki toyota vitz mkuu.
Sina hakika kama bei ni kubwa kiasi hicho isipokuwa urasimu wa mamlaka zetu hizi kwenye tozo makato na kodi kwa gari jipya kabisa.
 
Uchumi hauruhusu mkuu
Kama tumeshindwa kuagiza yasiyozidi miaka 10 kurudi nyuma hayo mapya kabisa tutaweza?
Inakuwa ngumu lakini nia ikiwepo haikosekani njia, ukiongeza jitihada japo haizidi kudra naamini sio magari tu bali vitu vingi vilivyo tumika tutaviacha.
 
Tunatamani ila ni ngumu, ni kwa wachache sana kwa nchi hii.
Ukiwa na nia hautakosa njia ya kufanikiwa, ugumu uliopo upo kwenye mitazamo yetu na ile kukosa kusubiri, unaweza ukawa umepata 100 na kuna kitu kuzuri kinauzwa 120 ila kwa vile una haraka utaenda nunua kitu kama kile cha 120 kwa 80 kikiwa kina kasoro kidogo!
Kumbe ungevumilia kidogo ungepata 20 ungejazia kwenye 100 pale na ungepata kitu sahihi na kamilifu.
 
Back
Top Bottom