Ushuhuda, kuagiza gari na befoward

Ulitumia njia gani kulipia maana sasa hivi upatikanaji wa dola ni mtihan. Benk zetu zaidikupata zaidi ya dola mia ni mtihan. Inabidi kutumia njia ambazo si salama na unaipata kwa zaid ya tshs 2800
Wana account ya tsh bfoward ya bongo
Na ya yen ya japan
Ila kuna maelekezo kma utalipia direct japan
Mimi nililipia befoward kwa account ya crdb wanayo
 
Hongera sana na asante kwa mrejesho
Japo ulikua na risk hiyo ya kutokupata inspection sheet mshukuru Mungu alikuchagulia gari nzuri

Gari ukifanya uchaguzi mzuri wakati wa manunuzi hususani hizo gari za japan unapata gari ikiwa na ubora mzuri Befoward na wajapani wanatoa taarifa sahihi za gari

Vitu vya ziada kuzingatia wakati wa kuchagua gari ni pamoja na

1. Umiliki wa gari, kama ilishamilikiwa na mtu zaidi ya mmoja
2. Taarifa ya ajali kama gari ilishawahi kupata ajali kabla
3. Location ya gari -nchi gari ilipo wakati wa ununuzi na kama ni Japan ni mji gari
4. Uchakavu wowote kama upo
Yaani mkuu gari niliambiwa ingia kwenye website usiku gari huwa zinaahuka bei anzia jumatatu usiku
So niliichagua tu kwa kuangalia zile basics
Then nikaiscreeshot na reference number nikamtumia huyo bibie
Ila before everything nilienda ofiai zao za ocean road
Akaniambia ukiipenda gari nipe reference namba nikucalculatie bei na discount then nitakupa account ulipie
Ila yoooote uliyomention hapo juu nilikuja kuyajua two days baada ya kulipia gari
Weeee sikulla namshukuru Mungu gari imekuja nzuri
 
Hongera zako ...
Hizo kampuni za wenzetu wapo smart Sana kwenye biashara zao Kwa mfano ukiingia kwenye website ya be forward utapigiwa picha za gari husika kila sehemu zenye shida kama kuna mikwaruzo,SITI zilizoharibika,rangi iliyochubuka n.k

Wenzetu wanajua kufanya biashara na ni waaminifu pia serikali zao Wana Sheria Kali Sana juu ya kufanya udanganyifu
Japan sio?
Ila sidhani kama ni same kwa singapore
 
Toto la kimasai linatembelea matako.
Ninaamini Ni jasho lako binafsi sio hela ya vibabu vyenye vitambi na kupaka rangi nyeusi kwa nywele.
Nimeolewa
Sitegemei vibabu
Nina biashara kubwa gari yangu ya kwanza ni zaidi ya 16M hii ni faida ya bisahara na sio mtaji
Am blessed i thank God
Ningekua sijaolewa nina qualification za kuwa JISHANGAZI sema tu siwezi kumpa mwanaume mwenye nguvu asie mgonjwa au muhitaji kumi yangu
Bye
 
Nisipoongea nitakua sitendi haki maana niliahidi likifika langu katika hali yoyote. Nitakuja kutoa ushuhuda

Siku mbili tu tangu nilipie gari yangu nilikutana na ule uzi wa aliyeagiza alphard mpaka sasa ni milioni 24 na gari haitembei maana ilikuja mbovuu haifai. Mpaka matengenezo gari imekula ela za kutosha.
Katika koment watu wakasema hakikisha unapoagiza gari unapata inspection sheet.

Basi nikamuendea yule dada wa bfoward tuliyefanya nae mchakato wa kuliagiza. Nikamwambia naomba fomu ya ukaguzi akasema huwezi pata kwa sasa.

Nikapata tumbo joto sana
Nikamuuliza je gari ikija haieleweki itakuaje. Majibu yake hayo hapo chini. Ni kwamba kkiri gari za japani ni nzuri sana ila SINGAPORE KUNA SHIDA, gari yangu imefika iko manga’nyu sana.

Ipo vizuri mno na ilitokea japan
Ukaguzi wa awali na wa baada gari ina asilimia 98 ya ubora.

Bado hatujaifanyia service ndogo
RAI yangu kama unaagiza gari na bfoward usijaribu gari za singapore
Maana kama mfanyakazi wao kakiri zinachangamoto wewe ni nani ujichanganye?
View attachment 2987628
Naona unatumia iPhone mkuu.
Umepiga hatua kubwa Sana.
 
Back
Top Bottom