Ushuhuda: Kazi zipo jamani!

Ushuhuda: Kazi zipo jamani!

usawa wa kulia

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2014
Posts
454
Reaction score
154
Nawapa moyo kaka zangu, dada zangu, na wadogo zangu mnaotafuta kazi na kuona kama hazipo au wanaopata ni wale wenye connection tu.

Kazi zipo sema MUNGU wetu ni wa majira na nyakati na kila mtu ana mda wake wa kufanikiwa la muhimu ni kutokata tamaa kutuma maombi na kuamini kazi yako ipo tu.

Ni hivi, nlifanya usaili mwezi wa June tarehe 10, 2014, majina yakatoka waliofaulu usaili na mimi nkiwepo bila kuwa na conection yoyote!

UKIMTEGEMEA MUNGU HAKUNA LINALOSHINDIKANA
 
mwezmungu akujaalia moyo wa kazi na uvumilivu kazini, maana kuna changamoto nyingi kwani ni wapi umepata hiyo kazi?
 
Sawa na sisi tunasubiri muda wetu ufike japokuwa umri nao unazidi kusogea........
 
Asante mkuu Mimi naamini kuwa mwaka huh hauushi sijaingia kwenye payroll yeyote mean private am a government. May god be with me...
 
Asante mkuu Mimi naamini kuwa mwaka huh hauushi sijaingia kwenye payroll yeyote mean private au
government. May god be with me...
 
Nawapa moyo kaka zangu, dada zangu, na wadogo zangu mnaotafuta kazi na kuona kama hazipo au wanaopata ni wale wenye connection tu.Kazi zipo sema MUNGU wetu ni wa majira na nyakati na kila mtu ana mda wake wa kufanikiwa la muhimu ni kutokata tamaa kutuma maombi na kuamini kazi yako ipo tu.Ni hivi, nlifanya usaili mwezi wa June tarehe 10, 2014, majina yakatoka waliofaulu usaili na mimi nkiwepo bila kuwa na conection yoyote!UKIMTEGEMEA MUNGU HAKUNA LINALOSHINDIKANA
Jinsia yako? wewe ni mzuri?
 
Ajira ni mpaka usaini mkataba na si kuitwa kwenye usaili .... ukisha saini mkataba njoo utupe tena ushuhuda.
 
Ajira ni mpaka usaini mkataba na si kuitwa kwenye usaili .... ukisha saini mkataba njoo utupe tena ushuhuda.

hujanielewa au wewe ni mgumu wa kuelewe hadi naandika hvi nlishalamba mkataba toka last year...
 
Back
Top Bottom