Umekurupuka kumjibu,nakushauri usome tena alichokiandika mkuu. Amejielezea vizuri tu,na Usiishie kuforce tu etii zimelipwa bila kumpa solution la kupata boom lake. Kama amepata sidhani kama angepata time ya kuna kulalamikia madudu hayoNAKUJIBU MIMI HAPA
MAJINA YA TRANSFERS YOTE YAMELIPWA PESA MWEZI WA TATU NA MKOPO WAO UMEINGIA VIZURI TU. kabla sijaendelea ngoja nikuulize we boom la kwanza ulisainia wapi?
Umekurupuka kumjibu,nakushauri usome tena alichokiandika mkuu. Amejielezea vizuri tu,na Usiishie kuforce tu etii zimelipwa bila kumpa solution la kupata boom lake. Kama amepata sidhani kama angepata time ya kuna kulalamikia madudu hayo
Sasa nyie kwa nini mnaendelea kupeleka boom chuo cha awali wakati mwanafunzi kashahamishwa na vielelezo vyote vya uhamisho kashawapatia?wewe huyo jamaa kwa mujibu wake boom la kwanza kapata lakini nilipelekwa chuo cha awali,la pili ivo ivo na la tatu ivo ivo haina maana kwamba hajapata ila anadai kuwa aingiziwe kwenye chuo cha sasa hivi.
au wewe umeelewa kitu gani cha ziada?
Mkuu,Ndio Maana narudia kusema rudia tena utamuelewa. Kashasema ni miezi sita sasa toka Maana uishe. So fikiria wameingia lini chuo,na mbona kasema jamani amepata la kwanza kama kawaida la kwanza. Lakini yaliyofuata Ndio mmeanza kumsumbua? Soma vizuri mkuuwewe huyo jamaa kwa mujibu wake boom la kwanza kapata lakini nilipelekwa chuo cha awali,la pili ivo ivo na la tatu ivo ivo haina maana kwamba hajapata ila anadai kuwa aingiziwe kwenye chuo cha sasa hivi.
au wewe umeelewa kitu gani cha ziada?
afisa loan wa chuo ndio ana wajibu wa kupeleka majina kiufupi kama alisain boom la kwanza kwa chuo chake cha awali basi uvumilie mwaka huu mwakani atahamishwa akifuata procedure na aongee na afisa loan wakeSasa nyie kwa nini mnaendelea kupeleka boom chuo cha awali wakati mwanafunzi kashahamishwa na vielelezo vyote vya uhamisho kashawapatia?
Hamuoni mnafanya kazi bila kufikiria? Mnataka mwanafunzi atoke chuo kimoja aende kusain boom chuo kingine kisa uzembe wenu?
Ivi nyie mlisoma vyuo gani ambavyo hizo changamoto za maisha magumu hamjazipata?
Ni kitu gani ambacho kinasababisha mshindwe kupeleka boom kwenye chuo alichohamia mwanafunzi ilihali na hicho chuo wapo wanaopata boom, kwa nini hizo sheet za malipo ya boom msiunganishe na hao wanafunzi waliohamia kule?
Fanyeni kazi kwa weledi kama anavyodai Mkulu, kushindwa kwenu kufanya kazi inahesabika mkulu kashindwa kufanya kazi maana nyie ndio mnamuwakilisha hapo mlipo.
sio anasumbuliwa lakini jina lake lipo chuo alichotoka anatakiwa aandike maelezo kwa loan afisa ndio ajulikane kama amehama chuo ndio izo fomu za malipo ya mwezi huu itakuwa directed chuo kipyaMkuu,Ndio Maana narudia kusema rudia tena utamuelewa. Kashasema ni miezi sita sasa toka Maana uishe. So fikiria wameingia lini chuo,na mbona kasema jamani amepata la kwanza kama kawaida la kwanza. Lakini yaliyofuata Ndio mmeanza kumsumbua? Soma vizuri mkuu
Sasa wakati anafuatilia hapo HESLB mara kadhaa na mnampa majibu ya kukatisha tamaa, mara mnadanganya sijui hili, sijui lile limeharibika na huku mnajua ufumbuzi wa tatizo halafu hamumwambii, huoni kwamba ninyi ndio majipu?afisa loan wa chuo ndio ana wajibu wa kupeleka majina kiufupi kama alisain boom la kwanza kwa chuo chake cha awali basi uvumilie mwaka huu mwakani atahamishwa akifuata procedure na aongee na afisa loan wake
Wellsio anasumbuliwa lakini jina lake lipo chuo alichotoka anatakiwa aandike maelezo kwa loan afisa ndio ajulikane kama amehama chuo ndio izo fomu za malipo ya mwezi huu itakuwa directed chuo kipya
We jamaa Yaani wa hovyo aisee. Aandike Mara ngapi mtoto wa watu amekuambia ashaandika jamani we RAIA?????mbona inakuwa kama sio msomi? Kama huwezi tatua shida za watu usijitie kimbelembele kujibu mkuu. Soma tena uzi wake,ashaandika barua kibao tu. Au Mimi nimeelewa vibaya? Umekera aisee huna msaada tulia kimyasio anasumbuliwa lakini jina lake lipo chuo alichotoka anatakiwa aandike maelezo kwa loan afisa ndio ajulikane kama amehama chuo ndio izo fomu za malipo ya mwezi huu itakuwa directed chuo kipya
Achana nae,hana msaada huyo zaidi ya porojo tuBarua tulizoandika ninakopi zake
Yaani zinaweza jaaa ndoo kubwa ya maji
Kwa kweli mambo mnayoyafanya sio sahii
Majibu yenu yanakwaza n.a. inahitaji uvumilivu wa hali ya juuu kuondoka pale hujakasirika
.
.
Mifano kuna dada mmoja alikua Ana Mimba mwaka jana kipindi nafuatilia alikua anakaa kwenye chumba cha wazi kule LOAN ALLOCATION
Aisee ana majibu ya hovyo mpaka unaweza hisi kizunguzungu
Yani kanizungusha sana Yule dada mwaka jana
Kila nikija nenda rudi na barua(nilipeleka barua karibia kila siku nilikua naenda pale loan board) lakini wao hata hawajali wanaona majibu Yao ni sahihi kila wakati
Hawajui sisi ni wanachuo leo na kesho unaweza nikuta mahali nikakusaidia na kukuhudumia vizuri tu lakini wao akili zao ni kama zimefungiwa mahali
Shida yao cjui ni kutukomoa SIsi Ama cjui nini
.
.
Imefika wakati tumekata tamaa sasa kila wakati tunawaza tunaishije badala ya kuwaza masomo
Ufaulu wetu unapungua kila wakati
.
Sometimes unalazimika kutokwenda shule ubakibtu nyumbani sababu unasikia njaa hata ukienda hutoelewa
Kwa marafiki nao wanetuchoka n.a. dar ndugu hatuna ivo ndo tunaishi
Tunawasubiria mungu wadogo loan board watulipe pesa zetu jamani THIS IS NOT FAIR
Nawaambieni loan board MUNGU anawaona jamani
.
.halafu unatudanganya eti waliofanya transfer last year pesa zao zimeingia mwezi wa tatu (punguzeni uongo jamani)
.
.
Yaani mpaka sa hivi sielewi cjui mnataka rushwa ama nini
Semeni basi tujue M nataka ndo mfanye kazi
barua yake anayetakiwa alete HESLB ni loan ofisa yeye akileta anaonekana kama muhuni fulani TU.We jamaa Yaani wa hovyo aisee. Aandike Mara ngapi mtoto wa watu amekuambia ashaandika jamani we RAIA?????mbona inakuwa kama sio msomi? Kama huwezi tatua shida za watu usijitie kimbelembele kujibu mkuu. Soma tena uzi wake,ashaandika barua kibao tu. Au Mimi nimeelewa vibaya? Umekera aisee huna msaada tulia kimya
barua yake anayetakiwa alete HESLB ni loan ofisa yeye akileta anaonekana kama muhuni fulani TU.
Haya ndo majibu ya watumishi loan board hata sishangaibarua yake anayetakiwa alete HESLB ni loan ofisa yeye akileta anaonekana kama muhuni fulani TU.
Loan officer barua alishaleta lakini bado mnatuzungusha tubarua yake anayetakiwa alete HESLB ni loan ofisa yeye akileta anaonekana kama muhuni fulani TU.
Je wakati yeye analeta hiyo barua, mlimuambia yeye hahusiki na kuleta hiyo barua?barua yake anayetakiwa alete HESLB ni loan ofisa yeye akileta anaonekana kama muhuni fulani TU.