Basi itamkwe tu kuwa chanjo hizo ni zadii ya 'Uvika' kama ilivyokusudiwa. Maana kuna al-Ustaadhi maarufu sana 'Dalisalama' yeye alivyo chanja tu akaja na khabari njema;
Eti, 'mambo fulani' nyumbani yameboreka zaidi,
Akaendelea kwa kusema anaetaka ushahidi akaulize nyumbani.
Nashangaa hadi leo hakuna wanahabari waliolifuatilia hilo ili tupate mrejesho wa uhakika.