SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
Hivi vijana wa siku hizi wamepatwa na masahibu gani?
Mmmh kama sijapoteza kumbukumbu, nahisi hii shule (MAKONGO) ipo chini ya jeshi la wananchi TZ....
Na kama sijapoteza kumbukumbu, jeshi lolote hapa duniani (hata kwa cameroun) hawaruhusu tabia ya ushoga....
INAWEZEKANAJE MAKONGO KUKAWA NA USHOGA....?
::::: objecting:::::
Si wanajifanya 'waziri mkuu' wa nchi moja ya huko ulaya (ya kifalme) ambaye jina lake la ukoo lafanana na nchi moja ya Afrika magharibi.
mkuu mimi mwenyew nimemaliza pale hako katabia kapo si wanafunzi hadi kuna mwalim flan ************** ni mjeshi pia niliskiaga ni shoga, ukiona physical appearance yake tu utamgundua ,inshort makongo imeharibika sasa hivi, mzee mwangasi upoo
mkuu nadhani upo mbali sana na ishu za majeshi, hizo ishu haziruhusiwi ila jamaa wajeda wanaongoza sana kwa ushoga haswa wa nchi za ulaya. Fuatilia
Wadau Salamu kwa wale msiojua kumeibuka tabia ya ushoga hapa Makongo Sekondari (hasa wanafunzi tunaoishi bwenini/hostel) Patron ndio kinara wa kamchezo haka maana ana mtu wake humu bwenini zaidi akipewa rushwa kidogo huwaruhusu watu kwenda nje ya shule kurahaputika. Wazazi fuatilieni watoto wenu waliopo bweni Makongo sec. Dar es Salaam. Kijiwe kikubwa cha kuunganisha na maba.sha ni Saloon iliyopo karibu na ofisi za Sisiem Mwenge (Mabasi yanapoingilia. Hapo ndo meeting point ya Wababa/wakaka wanaotafuta dogo dogo na wanafunz wanaoganga njaa kwa kuuza 0655.