Ushoga kwa hisani ya umoja wa ulaya

Ushoga kwa hisani ya umoja wa ulaya

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,424
sijambo geni kusikia misaada inatoka kwa hisani ya nchi za magharibi kama:madawa,maendeleo yenye nyanja zote mpaka siasa,
je!! kwa nchi fulani kujisikia yenye misaada kama muhisani ili tupate msaada tukubali masharti ya ushoga kwa kisingizio cha siasa kupitia demokrasia,
"Tujiulize tuliokuwa pinzani au watawala kwa hisani ya misaada turuhusu ushoga kwasabu ya demokrasia ukisikia mwanao itakuwaje?, Nipo njia panda nami nataka kuanzisha chama kwa hisani ya umoja wa ulaya
 
Vijana wa lumumba mmeona ushoga tuu..?? Undondocha umewazidi aisee...
 
Ben wa saa8 yupo wapi ni nani alimpiga risasi Tl? Tuanzie hapo
 
Vijana wa lumumba mmeona ushoga tuu..?? Undondocha umewazidi aisee...
njoo nikupe msaada ili ni kupakue.ni mwananchi mwanzako si mwanachama na zungumzia watoto wetu kuhusu
 
Je tukubali misaada kwa sharti la ushoga likiwepo hujajibu swali hatakama hiyo demokrasia unayoitaka haipo tukubali misaada ila ww uwe shoga?
 
Hivi haiwezekani ajenda ya ushoga tukaachana nayo tuka deal na mambo ya msingi?

Kwenye ule waraka wa Marekani na ule nchi za Ulaya wameongelea mambo mengi sana ila kuna watu wenye vichwa vya panzi wamebaki kushikilia jambo moja la ushoga wakati ndani ya huo waraka wameongelea mambo mengi sana ya msingi..

Halafu tunacho shindwa kukielewa Tanzania wanasema hatutaki ushoga je nauliza Mshoga waliopo Humu nchini siyo raia wa Tanzania? Sasa tunakaa nn wakati mashoga tupo nao humu mtaani?

Yaani wazungu wanatuweka buys kwa mambo ya kipumbavu nchi inasimama kujadili ushoga ilihali wazungu wakiendelea kupiga kazi, hadi tuje tuzinduke itakuwa too late
 
Wanaotetea utakuta watoto wao ni mashoga so wao hawana hashes ndiyo maana wameungana na mabeberu
sijambo geni kusikia misaada inatoka kwa hisani ya nchi za magharibi kama:madawa,maendeleo yenye nyanja zote mpaka siasa,
je!! kwa nchi fulani kujisikia yenye misaada kama muhisani ili tupate msaada tukubali masharti ya ushoga kwa kisingizio cha siasa kupitia demokrasia,
"Tujiulize tuliokuwa pinzani au watawala kwa hisani ya misaada turuhusu ushoga kwasabu ya demokrasia ukisikia mwanao itakuwaje?, Nipo njia panda nami nataka kuanzisha chama kwa hisani ya umoja wa ulaya
 
Achana na agenda za wazungu piga kazi .. ufipa mnajisahau sana
Hivi haiwezekani ajenda ya ushoga tukaachana nayo tuka deal na mambo ya msingi?

Kwenye ule waraka wa Marekani na ule nchi za Ulaya wameongelea mambo mengi sana ila kuna watu wenye vichwa vya panzi wamebaki kushikilia jambo moja la ushoga wakati ndani ya huo waraka wameongelea mambo mengi sana ya msingi..

Halafu tunacho shindwa kukielewa Tanzania wanasema hatutaki ushoga je nauliza Mshoga waliopo Humu nchini siyo raia wa Tanzania? Sasa tunakaa nn wakati mashoga tupo nao humu mtaani?

Yaani wazungu wanatuweka buys kwa mambo ya kipumbavu nchi inasimama kujadili ushoga ilihali wazungu wakiendelea kupiga kazi, hadi tuje tuzinduke itakuwa too late
 
Ushoga ni moja ya maazimio ( resolution) au mikakati ya EU kuitaka Tanzania iyafuate, ikumbukwe maazimio ni one component measure,

Je? Mnaoshangilia Tanzania ikubali, maana yake ihalalishe ushoga?
Nijibuni!
 
Ushoga Tanzania upo au haupo?
 
Kuna tatizo la uelewa miongoni mwa RAIA na ndio maana tunapelekwa pelekwa tu na hao RAIA wachache wanaotuongoza
Hivi ukiwa na mwanao na ukagundua kuwa tayari ni shoga tumpige risasi tumuue??
Yaani sasa sheria zetu ziruhusu kwamba shoga akigunduliwa tanzania apigwe risasi auwawe??
Ili tusiwe na mashoga nchini kwetu

Kwa sababu mashoga tuwakatae au tuwakubali ni lazima watakuwepo na hatuwezi kuwauwa
 
njoo nikupe msaada ili ni kupakue.ni mwananchi mwanzako si mwanachama na zungumzia watoto wetu kuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwamba marais waliopita walipitisha Ushoga??? Kwanza serikali ilikataa haijapinga ushoga so msijifiche kwenye huo Ujingaa... Nchi imekuwa ya kifala sana ndo maana wanaona bora mashoga kama nyie mualalishwe tu... mnaendeshwa ka maiti vilee
 
Back
Top Bottom