Mkuu, ulianza vizuri ila na wewe umepotea. Ushoga umeanza miaka mingi sana kama wengine wanavyosema au Mleta thread alivyoandika kuwa ni Sodoma na Gomora. Nina shangaa sasa kusema hayo ni ya USA, kwani hii Sodoma na Gomora ilikuwa USA? Hapana.
Ushoga umekuwepo kwa miaka mingi sana na wengine wanadai ndiyo sababu haswa ya Shetani kufukuzwa kwenye bustani ya Eden/Peponi kwani kabla Eva hajatengenezwa na Mungu kuwa Mke wa Adam, hakukuwa na Mwanamke na Shetani alikuwa kashauanza huu mchezo na Malaika wenzake (Mhhh!?!?!?!). Haka ka mchezo ni kamchezo kachafu na kazee kuliko dunia hii.
Ila ni MASHOGA hawa hawa tunaowalaani leo ndiyo wameibadilisha dunia na kwa sasa wanazidi kufungua makucha kwa kuishika dunia hii. Kumbuka ni wao wamemuweka madarakani Obama. Zamani walikuwa ni Wayahudi na Media zao/Fedha zao ndiyo walikuwa na nguvu sana kwenye Serikali ya USA. Ila mnakumbuka vitisho na kila aina ya njama zilifanywa na Wayahudi(PM Netanyahu) ili Obama wampige chini ila Obama akasema atatetea haki za Mashoga, na akashinda. Jamaa ni wengi sana na wanazidi kuwa wengi.
Duniani idadi ya watu imekuwa kubwa sana, lazima tupungue tutake tusitake. Wachina wanatuuwa na product zao hatari, wenyewe tunauwana na product hatari, Fukushima na Charnobil nazo zinatukaanga, AIDS, Malaria, nk. Vita kwa sasa zimepungua na idadi ya Binadamu imeongezeka na dawa pekee ni USHOGA. Watu mngelijua hali imefikia wapi, basi tungelikaa tu nyumbani na kusali. Kupigana na hii kitu ni kwamba tumeshachelewa. USHOGA unatawala tayari dunia tupende tusipende.
Mtu unaweza kuja na kila aina ya matusi, ila wenzio watakuja na DOLA zao...SIKONGE umenifungua macho!