Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

una uhakika gani kuwa watu hawalalwi mpaka sasa? jiulize ni nini kinachowafanya kila wanajibembeleza huko magharibi kwa akina cameroun hadi sasa? here in africa we have only two strong prezdaaz, mugabe and kaguta, mention more if we have?

inawezekana kabisa mkuu huwa wanaliwa,manake kila siku wako huko
 
kuna mashoga wengi sana kwenye hii thread....will yu please speak your heart?siwaoni hata mmoja anaejitetea.does it mean hatuna mashoga tanzania?/walahi unafiki wenu unadhihirika hapa.....mnaphira.na usiku kucha kwenye magari na vyoo vya baa ila mkija apa eti 'i hate gays'..***** zenyu
 
Huu upumbavu wa kuwafunga watu maisha just because they are gay lazima ukomeshwe,kata misaada,ban visa weka na vikwazo hawa waafrica wajinga walale njaa...lazima mkubali la sivyo yo ll goin to suffer.
 
Hapa bongo tunavyoendekeza shida,... wale wawakilishi wakihaidiwa posho tu majanga ya kuwa mapunga yatatokea
 
sidhani kama USA/UK au nchi yeyote imelazimisha watu kuwa MASHOGA. Lakini kama mtu ni SHOGA au ameamua kuwa SHOGA aachwe aishi atakavyo na sio mumpangie au mumuue au kumfunga kwa sababu AMEAMUA kuwa shoga.

Huo ndio msimamo wao na haki za binadamu. Mimi binafsi sipendi USHOGA/MASHOGA lakini mtu akiamua kuwa shoga hainihusu afanye ushoga wake hayo ni maisha yake.wanachopinga USA na wenzao ni PERSECUTION dhidi ya mashoga,waacheni waishi watakavyo.


Walifikia (Mashoga) huko Uganda kujitangaza na kudai haki ya kukusanyika pamoja. Wanatafuta watu wa kuwaunga mkono katika upuuzi huo. Wanatangaza upuuzi. Hakuna mtu aliyezaliwa shoga bali ni mazoea ya kipuuzi.
Museveni Hongera Mungu akuongezee miaka.
 
Maana yake ni kwamba la ukubali nikufile au hupati ela yangu...

museven kawafla wakongo ngoja na wazungu nao wajae uganda wawafi..le nchi nzima kuanzia ikulu mpaka mitaani,akiifuta sheria hiyo museveni ainame aokote kidude
 
napata maswali zaidi....hwa wa magharibi kesho watataka tuoane na mbwa..ina maana sisi hatuna namna ya kuona kip kizuri au kibaya lazima tuwafuate wao? Haya ndio madhara ya kuacha ujamaa na kujitegemea. Alafu mbona wanamachungu zaid kuliko wahusika wenyewe?
 
Misaada ya IMF na benki ya dunia haijawahi kuwa kwa maslahi ya waafrika na wala serikali ya Uganda hawahitaji kuwabembeleza kwa hilo. Wenyewe watageuka na kusema sasa wamejiridhisha kuwa mkopo husika hautatumika kuwakandamiza mashoga vile kutoitoa ni hasara yao kuliko ilivyo kwa serikali pokezi!.
Museveni, Mugabe na wengine wenye ujasiri wa kuigwa wastahili dua zetu.
 
alafu kwann pedofilia na homosexuality cases nyingi zipo ulaya kuliko africa. Waache kuuniversalize vitu bana, kama wanamachungu ya damu wawachukue hao watu..
 
The Western call "man on man sex" human rights?I am pretty sure God is crying right now and He is blessing Uganda and Nigeria fir passing that law!Tanzania should follow the example
 
alafu hiyo sio misaada, hela na mali wanazobeba africa ni mara kumi ya hiyo misaada! So lets ignore them, hata ikija hiyo misaada wanaita inamsaidia nani kama sio vinara wao tu!
 
nina wasiwasi na desmondi tutu about his sexual identity hadi anaunda chama cha mashoga sijui anataka kutwambia nn! Afrika as AU should say somthing, coz she is boss of the world, i mean a cinderella. Wamagharibi potelea mbali sisi tupo na wasovieti na wachina. Hqhqh
 
Kwanza fedha nyingi za misaad kwa Africa huwa zinaishia mifukoni kwa mafisadi mwananchi wa kawaida hawezi kuumia.
 
waafrika umefika wakati sasa tufanye kazi kwa bidii na ikiwezekana tuweze kutafuta fursa zetu wenyewe na kuimarisha kwa umakini umoja wa kanda zetu ili ulete mageuzi ya kiuchumi
hii itapunguza kupangiwapangiwa katika maamuzi yetu.
mimi naamini vita yoyote inayoendelea africa hawa tunaowaita rafiki zetu wadhili wanahusika kutugombanisha na wao wanacho cha kufaidika katika matatizo yetu.
haijalishi tumekosea wapi turudi tuangalie upya nini tufanye
 
Back
Top Bottom