Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

msimamo wangu ni huu....SIPENDI USHOGA LAKINI MTU AKIAMUA KUWA SHOGA NI YEYE SIWEZI KUMPANGIA AISHI VIPI......kuhusu mwanangu kuwa shoga nitajitahidi kumlea asiwe shoga lakini akitokea kuwa shoga siwezi kumuua au kumkataa kwani hao wenye watoto mashoga walipenda kuwa na watoto wa aina hio?

kweli kila mtu aishi atakavyo lakini hawa wenzetu wanapotulazimisha tuutambue huo ushoga mbona naona wanakiuka haki zetu vile vile. kwanini wasiache mambo yawe kama zamani. wasilazimishe watu bana. wanakera sana.
 
Aisee! Kwani si wafi..ane wenyewe huko! Au lazima nasi tu..irane? Ebbos si watuletee hiyo mi..undu yao tuigonge!!!!!!!
...
Sasa kunamausiano gani kati ya mikopo na kuf..rana?
...
Aisee! Hii sera ikipitishwa Tz, lazima tuwadoee wote waliosign!
inashangaza sana.
 
Mkuu unavyoiongelea AFRICA wewe ni mgeni kwenye BARA hili,,! Wenyewe wanaoenea vijicho kiongozi Mwenzao akipendwa na Wazungu ss wasema leo waungane kupinga! Ndg una MOYO mgumu sana!
Mimi siyo mgeni TZ labda mgeni wa mjini,
nimezaliwa na kulelewa Tz tena kijijini!
Wewe msimamo wako ni upi?
 
kweli kila mtu aishi atakavyo lakini hawa wenzetu wanapotulazimisha tuutambue huo ushoga mbona naona wanakiuka haki zetu vile vile. kwanini wasiache mambo yawe kama zamani. wasilazimishe watu bana. wanakera sana.
Mkuu kwahiyo Uganda pia wamekosea kupitisha ile sheria?
 
kweli kila mtu aishi atakavyo lakini hawa wenzetu wanapotulazimisha tuutambue huo ushoga mbona naona wanakiuka haki zetu vile vile. kwanini wasiache mambo yawe kama zamani. wasilazimishe watu bana. wanakera sana.

kuhusu wao kulazimisha watu wawatambue hata mimi sikubaliani nao,wakae na ushoga wao kama ambavyo wapo sasa hivi bila kulazimisha watambuliwe
 
wasitambuliwe kisheria na wala wasibanwe kisheria. kila mtu ajiju mwenyewe na life style lake.

Then its my personal attitude,
I hate ushoga daah! Ungesema amua,
hata hakuna muda wa kupeleka mahakamani,
hukumu intungwa moja kwa moja.....................
 
kwa wanaochukia wanachukia na wanaopenda wanapenda. personal attitude kama ulivyosema. wakati wewe unasema kwanini watambuliwe kisheria wakati sio maadili na ipo kinyume na imani zetu, wao mashoga wanasema kwanini msitutambue wakati haya ni maisha yetu binafsi. binafsi nachukia sana hiyo tabia lakini kutokuwa biased ni bora kutowatambua kisheria na kutowabana kisheria vile vile.
 
Sisi waafrika ndio wapuuzi kwa kuendekeza ufisadi na nchi zetu kuendelea kuwa maskini na kupelekea kuwa ombaomba kwao. Ukisha kuwa ombaomba tegemea utakuwa mtumwa daima

Haina haja ya kujitakataa mkuu

Ujue na wewe mpuuzi kama waafrika wengine..
 
kwa wanaochukia wanachukia na wanaopenda wanapenda. personal attitude kama ulivyosema. wakati wewe unasema kwanini watambuliwe kisheria wakati sio maadili na ipo kinyume na imani zetu, wao mashoga wanasema kwanini msitutambue wakati haya ni maisha yetu binafsi. binafsi nachukia sana hiyo tabia lakini kutokuwa biased ni bora kutowatambua kisheria na kutowabana kisheria vile vile.

Bangi na madawa ya kulevya watu wanavipenda, hivyo wanavitumia,
Kuendesha chombo cha moto ukiwa umelewa; watu wanaokunywa wanapenda hivyo wanafanya,
Kuiba kitu kisicho chako; watu wanafanya, mabinti wadogo kubakwa, watoto kulawitiwa na vingine vingi. Hatuwezi kusema kila mtu afanye anachotaka kwa sababu ni maisha yake hata kama kiko kinyume na maadili yetu au hakifai kwetu.
Nafahamu hata sheria zinavunjwa hata huko mahakamani sababu ya maadili mabaya, lakini bora tujue moja umevunja sheria hivyo uhukumiwe; mimi nadhani iwepo sheria ya kutotambu huu ujinga.
Vinginevyo nakubali kutokubaliana.
 
hiyo mifano uliyoisema yote inaathiri upande mwingine. mtu akibaka ina maana aliyebakwa kaathiriwa. ila hao wanaofanyana ushoga ni wao wenyewe na maisha yao waliyojichagulia. hebu nitoke humu, staki kutetea wala staki kushabikia hizo dhambi. mungu tunusuru
 
Wajanja tulisha liona hili mapema sana, No free lunch dunia hii, na nia ya wazungu ni kwamba sharia ikipitishwa maana yake wao ndio waje kutugegeda wao yaani watakuwa wanamwambia Raisi nakupa msaada halafu wewe nipe mashoga kadhaa,, Wabongo tufanye kazi kwa bidii ili tuache utegemezi.

Mim huwa najiuliza why rais wangu ana marafiki sharki ya kati???????
 
Ndg yangu, mwanyasi msimamo wangu Hapana kwa USHOGA kinachonikera ni kutegemea hawa OMBA OMBA wavaa TAI wanaopenda kujiita Viongozi we2! Kwamba wanauwezo wakuwagomea Wazungu jambo lolote wanalotaka kulifanya kwetu Hawana uwezo huo naukitaka uamini Angalia kibano atachopata M7 kisha ckia Viongozi wengine wakiAfrica watakachofanya! maKONGAMANO yataanza mara 1 wenyewe wanaita kuelimisha Upuuz plus,,! Wakati mwingine m2 unahis km ni LAANA flan kuzaliwa mwafrika,,,!
 
Wajanja tulisha liona hili mapema sana, No free lunch dunia hii, na nia ya wazungu ni kwamba sharia ikipitishwa maana yake wao ndio waje kutugegeda wao yaani watakuwa wanamwambia Raisi nakupa msaada halafu wewe nipe mashoga kadhaa,, Wabongo tufanye kazi kwa bidii ili tuache utegemezi.

Mim huwa najiuliza why rais wangu ana marafiki sharki ya kati???????

really???!!!
 
Back
Top Bottom